mwenyehekima
Member
- Oct 16, 2014
- 25
- 16
Tafadhali Tanfom Arusha ondoeni udongo eneo la barabarani uliotokana na ujenzi wa ukuta katika eneo lenu la moshono Losirwat.
Kwa kweli mnatutesa hasa Watembea kwa miguu kwani mvua hizi zinasababisha matope na toyo zinashindwa kupita hivyo kututesa tunaporudi usiku kwani tunaachwa mbali na toyo hata usiku wa manane kwa sababu toyo haziwezi kupita hapo.
Tunaomba uongozi mfuatilie hilo kwa haraka kwa kweli tunateseka.