Pole mkuu,na elewa wewe kama jirani na kiwanda hicho ulitakiwa upewe taarifa kuhusu ujenzi huo na utoe maoni yako maana kimeathiri maisha yako,humu JF ni kulalama tu,fanya push back,vunja ukuta huo au tafuta treatable likajaze kifusi mlangoni kwao ,haya yakifanyika DC na team yake ya ulinzi na usalama itaingia hapo na kuleta mwafaka haraka sana