Tanga: Baada ya mke kuuawa, mwili wa mume nao waokotwa

Bara
Ndio waliuwaw na mine kauliwa badae, walouwa Ni wasomali ambao mine aliwadhulumu baada ya kufanya wote biashara ya madini.
Barabara ya 4 hapo au ndo zile nyumba za mwanzo mwanzo karibu na road naonaga watoto WA kiarabu kabla ya ile lodge
 
Mi naishi Tanga ,hyo stori ipo hivi mume aliwadhulumu wasomali pesa/madini baada ya kuwa wanafanya biashara.
Hovyo wasomali waliamua kumuua na unaambiwa wasomali ukiwadhulumu wanadhuru mpak familia yako Mana wamaamini mmekula wote.
Jamaa Ni muhindi alouliwa
Aisee
 
Mjadala ufungwe..
Alileta jeuri wao wakawa na jeuri zaidi..
 
Mi naishi Tanga ,hyo stori ipo hivi mume aliwadhulumu wasomali pesa/madini baada ya kuwa wanafanya biashara.
Hovyo wasomali waliamua kumuua na unaambiwa wasomali ukiwadhulumu wanadhuru mpak familia yako Mana wamaamini mmekula wote.
Jamaa Ni muhindi alouliwa
Embu jazia habari yako...
Hamna kitu cha kutushawishi hapo .
 
Huenda ni Msogo wa Mawazo baada ya kufiwa na mke na mtoto wake! Ngoja tusubiri uchunguzi wa Polisi.
 
Ndio waliuwaw na mine kauliwa badae, walouwa Ni wasomali ambao mine aliwadhulumu baada ya kufanya wote biashara ya madini.
Hapa kidogo inaweza ikawa kweli.maana tukisema kauwa mkewe na yeye kujiua.
Tunaweza kuwa hatuko sahihi.
 
Mi naishi Tanga ,hyo stori ipo hivi mume aliwadhulumu wasomali pesa/madini baada ya kuwa wanafanya biashara.
Hovyo wasomali waliamua kumuua na unaambiwa wasomali ukiwadhulumu wanadhuru mpak familia yako Mana wamaamini mmekula wote.
Jamaa Ni muhindi alouliwa
"Unaambiwa"

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Nchi hii Ina raia wakigeni wengi sana na hio ndio Moja ya mipango Yao baada ya miaka mitatu ntarud kwenye coment
 
Back
Top Bottom