The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 896
- 1,427
Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Mary Chatanda ni mmoja kati ya washiriki katika zoezi la kupiga kura za maoni kuchagua wawakilishi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Wanachama wa CCM nchi nzima wanaendelea kutumia haki yao ya kupiga kura za maoni kwa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa, Kijiji au Kitongoji pamoja na Wajumbe wa Halmashuri ya Serikali ya Kijiji katika matawi yao.
Kwa sasa zoezi la kuhakiki majina ya waliojiandikisha kwenye daftari kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27, 2024, nalo linaendelea nchi nzima.
Soma Pia: Kigamboni: CCM wararuana wenyewe kwa wenyewe. Vurugu zapamba moto kwenye Uchaguzi wa ndani ya chama
Chanzo, TBC