Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyosambazwa na Chama hicho
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mhe. Amani Golugwa Leo tarehe 8 Oktoba 2024, akiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tanga Mhe Jonathan Bahweje wamefika nyumbani kwa marehemu Ally Kibao, Jijini Tanga na kutoa rambirambi za pole kwa familia kutoka kwa viongozi na wanachama wa Kanda ya Kaskazini.
Rambirambi zimepokelewa na familia akiwepo Mke wa marehemu, dada mkubwa wa marehemu na watoto wawili wa marehemu.
Soma Pia:

- CHADEMA: Mzee Ally Kibao ametekwa na Vyombo vya Ulinzi na Usalama akiwa kwenye basi. Usalama wa Taifa waeleze alipo
- Rais Samia aagiza Vyombo vya Uchunguzi kumpa taarifa ya kina ya Kifo cha Ali Mohamed Kibao
- Serikali yazomewa msibani baada ya kutaka waombelezaji waachie vyombo vya dola mauaji ya Ally Kibao