Tanga: CHADEMA yakutana tena na Familia ya Ally Kibao, Yatoa Rambirambi

Hii ndio Taarifa ya sasa iliyosambazwa na Chama hicho

Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mhe. Amani Golugwa Leo tarehe 8 Oktoba 2024, akiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tanga Mhe Jonathan Bahweje wamefika nyumbani kwa marehemu Ally Kibao, Jijini Tanga na kutoa rambirambi za pole kwa familia kutoka kwa viongozi na wanachama wa Kanda ya Kaskazini.

Rambirambi zimepokelewa na familia akiwepo Mke wa marehemu, dada mkubwa wa marehemu na watoto wawili wa marehemu.

Soma Pia:

Kwenye maandamano ya kumtafuta ally kibao nyote mliingia mitini aah nyie kiboko kwa usaliti!
 
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyosambazwa na Chama hicho

Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mhe. Amani Golugwa Leo tarehe 8 Oktoba 2024, akiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tanga Mhe Jonathan Bahweje wamefika nyumbani kwa marehemu Ally Kibao, Jijini Tanga na kutoa rambirambi za pole kwa familia kutoka kwa viongozi na wanachama wa Kanda ya Kaskazini.

Rambirambi zimepokelewa na familia akiwepo Mke wa marehemu, dada mkubwa wa marehemu na watoto wawili wa marehemu.

Soma Pia:

Mungu wetu awabariki sana, na Ally Mohammed Kibao aishi kwa Amani huko aliko inshallah hakuna ajuaye zaidi ya Mungu.
 
SHUJAA KIBAO.
wambura report ya kibao kaiweka kapuni.na aliyeomba ripoti katulia tuli.anaogopa kuuliza
...Ile ilikuwa namna ya kutupumbaza Watanganyika na kupooza joto, ila hakuna cha ripoti itakayokuja tolewa..HAKUNA

Damu ya Mzee huyu ikawe chachu ya mabadiliko HALISI ya HAKI na DEMOKRASIA nchini..RIP Mzee Kibao
 
Hii ndio Taarifa ya sasa iliyosambazwa na Chama hicho

Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini Mhe. Amani Golugwa Leo tarehe 8 Oktoba 2024, akiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Tanga Mhe Jonathan Bahweje wamefika nyumbani kwa marehemu Ally Kibao, Jijini Tanga na kutoa rambirambi za pole kwa familia kutoka kwa viongozi na wanachama wa Kanda ya Kaskazini.

Rambirambi zimepokelewa na familia akiwepo Mke wa marehemu, dada mkubwa wa marehemu na watoto wawili wa marehemu.

Soma Pia:

Mzee huyo amedhulumiwa vibaya Sana haki yake ya kuishi. Naamini kwa dhati kabisa kwamba Maumivu waliyonayo wanafamilia wake aliowaacha hapa duniani ni makali Sana, hayapimiki kwa kipimo chochote kile. Mungu awavushe salama kwenye gharika hii kali Sana wanayokumbana nayo wanafamilia hawa, naamini pia kwamba itawachukua muda mrefu Sana kwao kuweza kurejea katika hali zao za kawaida kisaikolojia.
Mungu awaongoze kwenye suala hili.

Siasa za vyama zinatufarakanisha Sana sisi wa-Tanzania. Kwa nini tuwe tunafarakana, kuchukiana, kugombana na kuua kisa eti tunatofautiana kwenye itikadi za vyama vya siasa?? Mambo haya ya vyama vya siasa kwa kweli yanatuletea chuki kubwa sana miongoni mwetu, yanajenga uhasama wa kudumu na kubomoa kabisa utangamano wa kitaifa.
 
Mzee huyo amedhulumiwa vibaya Sana haki yake ya kuishi. Naamini kwa dhati kabisa kwamba Maumivu waliyonayo wanafamilia wake aliowaacha hapa duniani ni makali Sana, hayapimiki kwa kipimo chochote kile. Mungu awavushe salama kwenye gharika hii kali Sana wanayokumbana nayo wanafamilia hawa, naamini pia kwamba itawachukua muda mrefu Sana kwao kuweza kurejea katika hali zao za kawaida kisaikolojia.
Mungu awaongoze kwenye suala hili.
Amina,Amina, Amina, Mungu atatenda!
 
Back
Top Bottom