Pfizer
JF-Expert Member
- Mar 25, 2021
- 590
- 807
Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma(SAU) Ndugu Majalio Kyara amewasihi wananchi kutokubali kuuza utu wao kwa kurubunika na kuchagua viongozi wasiofaa katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Pesa inatafutwa lakini utu hautafutwi msikubali kuuza utu wenu kwa kurubunika kwa njia yoyote.
Hayo yamesemwa akiwa katika mkutano wa kuwanadi wagombea katika Kata ya potwe, Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga.
Pia, soma: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024