Katibu mkuu wa chama cha sauti ya umma(SAU) Ndugu Majalio Kyara amewasihi wananchi kutokubali kuuza utu wao kwa kurubunika na kuchagua viongozi wasiofaa katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Your browser is not able to display this video.
Pesa inatafutwa lakini utu hautafutwi msikubali kuuza utu wenu kwa kurubunika kwa njia yoyote.
Hayo yamesemwa akiwa katika mkutano wa kuwanadi wagombea katika Kata ya potwe, Wilaya ya Muheza, mkoani Tanga.