Tanga-Kibaoni - Kilare road: Mbunge Ummy Mwalimu, 15 Billions zimeishia wapi?

Tanga-Kibaoni - Kilare road: Mbunge Ummy Mwalimu, 15 Billions zimeishia wapi?

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Ulitutangazia kuwa serikali imetoa bilioni 15 kujenga kipande hicho cha barabara. Mchina/MKANDARASI alikuja siku mbili tu, akaweka mambo/vijiti pembeni kuainisha upana wa barabara na vifusi kama 50 akaondoka. Hajarudi tena

KULIKONI?
 
Hela zishaligwa hapo. Ndo hizo wananunua maviwanja na mahekalu ndani na nje ya nchi.

Nyingine wameanza kujengea jengo la CCM hapo Dodoma.
 
Back
Top Bottom