R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 May 30, 2025 #1 Ulitutangazia kuwa serikali imetoa bilioni 15 kujenga kipande hicho cha barabara. Mchina/MKANDARASI alikuja siku mbili tu, akaweka mambo/vijiti pembeni kuainisha upana wa barabara na vifusi kama 50 akaondoka. Hajarudi tena KULIKONI?
Ulitutangazia kuwa serikali imetoa bilioni 15 kujenga kipande hicho cha barabara. Mchina/MKANDARASI alikuja siku mbili tu, akaweka mambo/vijiti pembeni kuainisha upana wa barabara na vifusi kama 50 akaondoka. Hajarudi tena KULIKONI?
Lord Denning JF-Expert Member Joined Jun 3, 2015 Posts 23,491 Reaction score 57,973 May 30, 2025 #2 Hela zishaligwa hapo. Ndo hizo wananunua maviwanja na mahekalu ndani na nje ya nchi. Nyingine wameanza kujengea jengo la CCM hapo Dodoma.
Hela zishaligwa hapo. Ndo hizo wananunua maviwanja na mahekalu ndani na nje ya nchi. Nyingine wameanza kujengea jengo la CCM hapo Dodoma.
MwajabuOmary JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 2,059 Reaction score 2,982 May 30, 2025 #3 Subiri kampeni zianze
njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 4,853 Reaction score 11,782 May 30, 2025 #4 Alafu ile bara bara ina wabunge watatu lakini duuuh