Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mchaga wa kibosho na shanga wapi na wapi?
Unataka kuwa kama Jane tripo 0.
Hiv tripo o yupo wap?
Duuu anataka ale GOti huyo!
lakin mbona hamniambii matumizi yake n nn hasaKama haikuwashi wala kukusumbua sioni kwanini umkatalie furaha yake.., na kama inakuwasha unaweza ukawa unavaa saa za kwenda kulala tu...
Hapo kila mtu atapata anachotaka..
lakin mbona hamniambii matumizi yake n nn hasa
lakini haukunjibu ina raha gani?