Tanga leo ni Idd, BAKWATA mbona mnatukanganya?

Tanga leo ni Idd, BAKWATA mbona mnatukanganya?

ChoiceVariable

JF-Expert Member
Joined
May 23, 2017
Posts
66,537
Reaction score
75,687
Baadhi ya waislamu jijini Tanga asubuhi leo Jumatano Juni 28, 2023 wamejitokeza kuswali swala ya Eid al Haji katika uwanja wa Tangamano.


My Take
Bakwata kuweni Serious basi ,mnatukanganya.
 
Imani gani bila utaratibu?
Utaratibu huwekwa na watu,
Ndio maana Dini inaweza ikawa moja ila utaratibu tofauti, tuna madhehebu mengi ndani ya dini moja.
Ni utofauti wa taratibu zao, ambazo hata wewe unaweza ukawa na wako ndio huleta matawi.
 
Mzee umezaliwa jana? Hujui kuwa miaka yote madhehebu ya kiislam mara nyingi hutofautiana siku za iddi kwa siku moja?
 
Baadhi ya waislamu jijini Tanga asubuhi leo Jumatano Juni 28, 2023 wamejitokeza kuswali swala ya Eid al Haji katika uwanja wa Tangamano...

Kwani hao si wale wa suruali fupi huwa tunatofautiana si si yetu kesho shekhe
 
Back
Top Bottom