ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Nini maana ya dini Sasa ?Mda mwingine Fuata nafsi/akili yako wao nao ni watu.
Kwani bakwata ndo anakupa ruhsa ya kufanya ibada wakati dunia nzima jana wanajua ilikua siku ya arafa
My Take
Bakwata kuweni Serious basi ,mnatukanganya.
Dini ni IMANI, imani yako inakuambiaje? Leo ni EID au sio EID?Nini maana ya dini Sasa ?
Imani gani bila utaratibu?Dini ni IMANI, imani yako inakuambiaje? Leo ni EID au sio EID?
Then fuata moyo wako unakokupeleka.
Utaratibu huwekwa na watu,Imani gani bila utaratibu?
hiyo dini ni fake na mambo yake pia
My Take
Bakwata kuweni Serious basi ,mnatukanganya.
Baadhi ya waislamu jijini Tanga asubuhi leo Jumatano Juni 28, 2023 wamejitokeza kuswali swala ya Eid al Haji katika uwanja wa Tangamano...