Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Naona lile wazo la Mbunge wa Kilindi alilolitoa mwaka 2021 kwamba Jimbo la Kilindi ligawanywe mara mbili limeanza kufanyiwa kazi.
Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Kilindi mkoani Tanga lilipitisha mapendekezo ya kugawa jimbo la Kilindi kutoka jimbo moja lililopo kwa sasa na kuwa majimbo mawili.
Soma pia: Spika Dkt. Tulia aomba jimbo la Mbeya Mjini kugawanywa
Jimbo la kwanza litakuwa la Kilindi litakalokuwa na kata 11 pamoja na jimbo la Songe litakalokuwa na kata 10, ambapo uwepo wa majimbo mawili kwenye Halmashauri hiyo utasaidia katika utoaji wa huduma kwa wananchi.