majimbo ya uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Badala kuongeza vituo vya afya na shule tunakimbilia kuongeza majimbo ya uchaguzi ambacho siyo kipaumbele kwa wananchi

    Hivi niwaulize ndugu zangu! Kuna haraka gani kukimbilia kuongeza majimbo? Ni mwanachi gani aliyekufa au kulalamika kwa ukubwa wa jimbo? Mambo ya msingi tunayolalamikia wananchi yanapuuzwa lakini yale ya hovyo ya kuongeza ulaji ndiyo wanayakimbilia! Gharama ya kulihudumia jimbo linaongeza...
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa wa Geita yapitisha mgawanyo wa Majimbo ya Chato na Busanda kwa maendeleo

    KIKAO cha Kamisheni ya Ushauri ya Mkoa (RCC) wa Geita kimeridhia majimbo mawili ya uchaguzi ya Chato na Busanda yagawanywe kupata majimbo manne ili kuchagiza maendeleo. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya...
  3. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kwa dhana ya Kuharakisha Maendeleo ya Wananchi ni heri tuanzishe Utawala wa Majimbo (States) kugawa Majimbo ya Uchaguzi kutengenezeana Ulaji binafsi

    Mwaka 2020 katika Uchaguzi Mkuu wa Rais na Wabunge, nikiwa nimevutiwa na Sera ya CHADEMA kuhusu kuanzisha utawala wa majimbo nchini Tanzania niliandika uzi kuonesha namna gani utawala huu utafanikiwa katika kuharakisha maendeleo ya Tanzania Uzi wenyewe huu hapa👇...
  4. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tanga: Madiwani wapitisha pendekezo la kugawa Jimbo la Kilindi kuwa majimbo mawili tofauti

    Wakuu, Naona lile wazo la Mbunge wa Kilindi alilolitoa mwaka 2021 kwamba Jimbo la Kilindi ligawanywe mara mbili limeanza kufanyiwa kazi. Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Kilindi mkoani Tanga lilipitisha mapendekezo ya kugawa jimbo la Kilindi kutoka jimbo moja lililopo kwa sasa na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kwa Mujibu wa Tundu Lissu, Majimbo Mapya hutengezwa kutoa fursa kwa watu fulani fulani nao wapate majimbo. Kama ni kweli basi tuna safari ndefu

    Tuko live kwenye mkutano wa Viongozi wa Chadema na Jukwaa la Wahiriri wa habari. Mambo yanayozungumzwa humo ni mazito sana. Tundu Lissu anasema kuna hali isiyo na usawa ktk kugawa majimbo sehemu mbali mbali nchini. Anatoa mifano kuwa Dar yenye wapiga kura zaidi ya milioni 3 ina majimbo...
  6. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuanza mchakato wa kugawa na kubadili Majina ya Majimbo kuanzia Februari 27, 2025

    Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza na kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo itapokea mapendekezo kuanzia tarehe 27 Februari, 2025 hadi tarehe 26 Machi, 2025. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa...
Back
Top Bottom