Hivi niwaulize ndugu zangu!
Kuna haraka gani kukimbilia kuongeza majimbo?
Ni mwanachi gani aliyekufa au kulalamika kwa ukubwa wa jimbo?
Mambo ya msingi tunayolalamikia wananchi yanapuuzwa lakini yale ya hovyo ya kuongeza ulaji ndiyo wanayakimbilia!
Gharama ya kulihudumia jimbo linaongeza mzigo kwa wananchi pasipo sababu ya msingi wakati maeneo mengi hayana shule wala zahanati.