Tanga: Magari mawili ya mizigo yamegongana na kuwaka moto jioni ya leo

Tanga: Magari mawili ya mizigo yamegongana na kuwaka moto jioni ya leo

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Magari mawili ya mizigo (Semi-trailer), yamegongana na kuwaka moto jioni ya leo October 20,2024 katika barabara kuu ya Tanga- Dar es salaam eneo la Kwedikwazu Wilaya ya Handeni Mkoani Tanga ambapo inahofiwa kuwa baadhi ya Watu wamepata madhara ikiwemo Madereva wa magari hayo.

Taarifa zinasema tayari Mkuu wa Usalama Barabarani Mkoa wa Tanga na Timu yake wapo njiani kuelekea eneo la tulio na jitihada za kuzima moto zinaendelea hadi usiku huu.

 
Back
Top Bottom