Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Nipo Tanga kama siku ya tano hivi nikitokea Moshi, aisee Jiji limepoa kishenzi kama Singida yani sijaona ujenzi mkubwa unaoendelea hapa hata wagorofa tatu, na kwenye viwanda tulimopita kuomba kazi na msela wangu napo kazi hamna. Sijui watu wa hili jiji wanaishije hata hivyo Kwakua Sina nauli ngoja niendelee kupambana labda nitapa kazi
NB: NILIKUWA TANGA KWAAJILI YA KUTAFUTA KAZI NGUMU ZA UJENZI NA VIWANDANI KAMA KAWAIDA YANGU KAMA KUNA MTU MWENYE CONNECTION ANIPE.
NB: NILIKUWA TANGA KWAAJILI YA KUTAFUTA KAZI NGUMU ZA UJENZI NA VIWANDANI KAMA KAWAIDA YANGU KAMA KUNA MTU MWENYE CONNECTION ANIPE.