Mropoka Hovyo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2023
- 446
- 1,253
Mno mnoNipo Tanga kama siku ya tano hivi nikitokea Moshi, aisee Jiji limepoa kishenzi kama Singida yani sijaona ujenzi mkubwa unaoendelea hapa hata wagorofa tatu, na kwenye viwanda tulimopita kuomba kazi na msela wangu napo kazi hamna. Sijui watu wa hili jiji wanaishije hata hivyo Kwakua Sina nauri ngoja niendelee kupamba labda nitapa kazi
NB:NILIKUWA TANGA KWAAJILI YA KUTAFUTA KAZI NGUMU ZA UJENZI NA VIWANDANI KAMA KAWAIDA YANGU KAMA KUNA MTU MWENYE CONNECTION ANIPE.
MUNGU atakusimamia mkuu.Nipo Tanga kama siku ya tano hivi nikitokea Moshi, aisee Jiji limepoa kishenzi kama Singida yani sijaona ujenzi mkubwa unaoendelea hapa hata wagorofa tatu, na kwenye viwanda tulimopita kuomba kazi na msela wangu napo kazi hamna. Sijui watu wa hili jiji wanaishije hata hivyo Kwakua Sina nauri ngoja niendelee kupamba labda nitapa kazi
NB:NILIKUWA TANGA KWAAJILI YA KUTAFUTA KAZI NGUMU ZA UJENZI NA VIWANDANI KAMA KAWAIDA YANGU KAMA KUNA MTU MWENYE CONNECTION ANIPE.
🙏🏾🙏🏾🙏🏾.MUNGU atakusimamia mkuu.
Dah mkuu msoto naopitia wanawake nimewaweka pembeni kabisa.Umepata beibe ya kitanga tayari?
Ndugu yangu huo mji sio wa kutafuta maisha, labda kama una ajira rasmi aidha ya serikalini au kampuni ndo utaishi life safi, tofaut na hapo, kama ni mbangaizaji hutoboi. Mi nimezaliwa na kukulia hapo napaelewa mwanzo mwisho. Umesema we ni mtu wa kazi ngumu, ingia arusha au dar maana sio mbali na tanga. Kuna maviwanda kibao, huku arusha kila cku mijengo inashushwa. Kwa tanga sikushauri kwa kweli utapoteza muda wako.Nipo Tanga kama siku ya tano hivi nikitokea Moshi, aisee Jiji limepoa kishenzi kama Singida yani sijaona ujenzi mkubwa unaoendelea hapa hata wagorofa tatu, na kwenye viwanda tulimopita kuomba kazi na msela wangu napo kazi hamna. Sijui watu wa hili jiji wanaishije hata hivyo Kwakua Sina nauri ngoja niendelee kupamba labda nitapa kazi
NB:NILIKUWA TANGA KWAAJILI YA KUTAFUTA KAZI NGUMU ZA UJENZI NA VIWANDANI KAMA KAWAIDA YANGU KAMA KUNA MTU MWENYE CONNECTION ANIPE.
Kazi ngumu ziko nyingi sàna, wenyeji wanazikwepa. Nakutumia namba mçheki huyo utapiga tofali hadi upate nauli.Nipo Tanga kama siku ya tano hivi nikitokea Moshi, aisee Jiji limepoa kishenzi kama Singida yani sijaona ujenzi mkubwa unaoendelea hapa hata wagorofa tatu, na kwenye viwanda tulimopita kuomba kazi na msela wangu napo kazi hamna. Sijui watu wa hili jiji wanaishije hata hivyo Kwakua Sina nauri ngoja niendelee kupamba labda nitapa kazi
NB:NILIKUWA TANGA KWAAJILI YA KUTAFUTA KAZI NGUMU ZA UJENZI NA VIWANDANI KAMA KAWAIDA YANGU KAMA KUNA MTU MWENYE CONNECTION ANIPE.
Aende PPTL au EPPL hawezi kosa kibarua lkn masaa manane wanalipa ela isiyozid elfu 6.Ndugu yangu huo mji sio wa kutafuta maisha, labda kama una ajira rasmi aidha ya serikalini au kampuni ndo utaishi life safi, tofaut na hapo, kama ni mbangaizaji hutoboi. Mi nimezaliwa na kukulia hapo napaelewa mwanzo mwisho. Umesema we ni mtu wa kazi ngumu, ingia arusha au dar maana sio mbali na tanga. Kuna maviwanda kibao, huku arusha kila cku mijengo inashushwa. Kwa tanga sikushauri kwa kweli utapoteza muda wako.
Unazeeka kwenye umaskini. Huo mji wanaouenjoy ni wafanyakaz wa serikalin/makampuni, wahindi, waarabu(baadhi) na wachaga baadhi wenye maduka ya nguo.Ulishaona ujenziVatcan city?au bagamoyo,Kilwa etc
Jiji limefikia climax yake halitakiwi kuzidi hapo,jiji la maraha,jiji la utalii,unakibeza lakini ukishangaa hurudi kwenu utazeekea humo humo
Nenda mkoa wa Pwani, Kibaha sanasana ni mkoa unaokuwa kwa kasi na una viwanda vingi sana vikubwa na vidogo. Tanga unapoteza muda.Nipo Tanga kama siku ya tano hivi nikitokea Moshi, aisee Jiji limepoa kishenzi kama Singida yani sijaona ujenzi mkubwa unaoendelea hapa hata wagorofa tatu, na kwenye viwanda tulimopita kuomba kazi na msela wangu napo kazi hamna. Sijui watu wa hili jiji wanaishije hata hivyo Kwakua Sina nauri ngoja niendelee kupamba labda nitapa kazi
NB:NILIKUWA TANGA KWAAJILI YA KUTAFUTA KAZI NGUMU ZA UJENZI NA VIWANDANI KAMA KAWAIDA YANGU KAMA KUNA MTU MWENYE CONNECTION ANIPE.
Nitashukuru mkuu na utakuwa umenisaidia pakubwa sana.Kazi ngumu ziko nyingi sàna, wenyeji wanazikwepa. Nakutumia namba mçheki huyo utapiga tofali hadi upate nauli.
Mbagala bamia 200 na nyanya chungu za mia anapata. Kitunguu hapa kwetu hamsini, karoti 100 na dagaa wa kukaanga jero anapata. Chumba cha elf 20 chenye umeme kipoNjoo mbeya mkuu....
Nyanya mbili 200
Bamia 300
Nyanya chungu 300
Limao 100
Kitunguu maji 100
Bado hujaishi?
Maana kinachosumbua mjini ni mboga.
Au ajaribu Zanzibar kwa kazi ngumu kuli ndiyo penyewe Maana watu wa kule siyo watu wa kazi Ngumu na ujenzi mwingi ni wa hoteli kutoka kwa wawekezaji wa kigeni.Ndugu yangu huo mji sio wa kutafuta maisha, labda kama una ajira rasmi aidha ya serikalini au kampuni ndo utaishi life safi, tofaut na hapo, kama ni mbangaizaji hutoboi. Mi nimezaliwa na kukulia hapo napaelewa mwanzo mwisho. Umesema we ni mtu wa kazi ngumu, ingia arusha au dar maana sio mbali na tanga. Kuna maviwanda kibao, huku arusha kila cku mijengo inashushwa. Kwa tanga sikushauri kwa kweli utapoteza muda wako.