Tanga Mjini ni pagumu sana aisee

Watu ikifika saa 7 mchana wanafunga biashara wanaenda kulala kidogo unategemea nini hapo?
Wazee wa kanzu, wanaenda kuswali. Walimaliza wanapita nyumbn kula, na kupumzka kidgo. Hapo biashara kufunguliwa saa 9 huko...
 
Una chuki na waarabu
Sina chuki, nimeeleza kilichopo. Waarabu wamejaa sana tanga, tena kwny hz barabara za namba ndo mitaa yao. Tanga kuna waarabu wenye maisha(hawa kazi yao ni maduka ya spea za pkpk na magar) na kuna waarabu choka mbaya(waarabu koko) na wako wengi kinoma. Nimesoma na hawa watu ko nawajua mwanzo mwisho.
 
White collar jobs sawa, ila kuna vitu vingi tu Tanga vinalipa Traditional, hasa Kilimo cha Nazi, popoo, Uvuvi, Matunda, Usafiri etc.

Kuna watu nawajua wana Vidau tu na siku nzuri mpaka 10M mtu anafunga.
Uko sahihi, ukiwa na pesa ya kuwekeza kwenye hzo fursa unapiga bao. Mimi nimezungumzia kwa mtu ambaye hana hili wala lile ndo anaanza moja, kwa tanga ni ngumu kutoboa.
 
Kwani hujaona wahindi koko? Au ni chuki zako za kijinga dhidi ya waaarabu
 
SEMA ULITAKA UISEME TANGA. MTU ANAETAFUTA KAZI TANGU LINI AKAYAONA MAISHA RAHISI, NA MTU HUNA PESA TENA KWENYE MJI WA KIGENI.
YAANI UMEONA MAISHA YA TANGA MAGUMU, KWA SABABU TU MJI UMEPOA, NA HAUNA MAGOROFA, AMA UJENZI MKUBWA UNAONDELEA, HATA HIVYO ULIVYOVITAJA, INGEKUA KINYUME CHAKE BADO KWA WEWE USIGEONA MAISHA RAHISI SABABU HUNA PESA.

UMETOKA MOSHI MJI WENYE PILIKAPILIKA ZA WATU, TENA
WENYE MAGOROFA, NA MIRADI MIKUBWA YA UJENZI, UNAENDA KUTAFUTA KAZI TANGA, BILA KUFANYA UDADISI JUU YA MJI HO, NAKUSHAURI URUDI TU MOSHI NDUGU YANGU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…