Captain Fire
JF-Expert Member
- Jul 23, 2023
- 2,435
- 5,000
Hujajibu swaliKama comment yangu umeitafsiri hivyo ni sawa pia. Kwasabb ni maono yako kwa nilichoandika. Ila sina chuki na iyo race.
Sahihi kabisaNi yey na kujishughulisha kwake. Hii mbagala yetu nzuri sana tu. Ingawa natamani jamaa tungesepa wote zanzibar wiki hii au mwanzoni mwa wiki ijayo. Kule kuna kazi za kuanzia ni ulinzi atapambana nazo miez kadhaa atafute kona nyingine mahotelin
Tanga ina wenyewe,ukipazoea utaenjoy sanaUnazeeka kwenye umaskini. Huo mji wanaouenjoy ni wafanyakaz wa serikalin/makampuni, wahindi, waarabu(baadhi) na wachaga baadhi wenye maduka ya nguo.
Hapo kuenjoy unazungumzia baikoko na vigodoro.Tanga ina wenyewe,ukipazoea utaenjoy sana
Halafu kuna mjinga mmoja anasema maisha ya marekani marahisi🚮Njoo mbeya mkuu....
Nyanya mbili 200
Bamia 300
Nyanya chungu 300
Limao 100
Kitunguu maji 100
Bado hujaishi?
Maana kinachosumbua mjini ni mboga.
🤣🤣🤣 Jichanganye udhani hiyo budget ndivyo tunavyokula Wanyakyusa 🤣🤣🤣🤭Halafu kuna mjinga mmoja anasema maisha ya marekani marahisi🚮
Sio mgosi ila nimezaliwa na kukua Tanga.Wewe ni mgosi hili neno kidau hili linatumika sana ukanda wa pwani hususani Tanga haya za hapo Mwahako😂
Kheri hiyo, huku DSM ni elfu 4.daah hlf wanasema biashara ya utumwa iliisha 🤯hawa watu wa kunyonga kabisa aisee, elf 6?
Asitusumbue mjini hapa🤣🤣Umepata mchumba mnyakyusa?
Inatakiwa upishane nao Wamevaa nini?Ukifika mji ukaona unapishana na watu wazima wamevaa open shoes wengine vikaushi wengine pensi mzee ondoka haraka sana hapo njaa
Sitaki hivyo na wewe unajua kabisa🤗Sawa.
Hivi mkuu Moshi ni mji wa nini?.Mji wa mapenzi huo
MbegeHivi mkuu Moshi ni mji wa nini?.
Inaonekana walevi wengi sana huko, Mwakani nataka nikatembee huko at least hata siku 7, angalau niwaone wapalestina.Mbege