Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Imefanya nn kiongozitatzo serkali mkuu
umesahau lodilofa...alipoingia madarakani akabinafsisha viwanda vyote vya serikali kwa wawekezaji ...na ndio ukawa mwanzo wa kuua viwanda vyote vilivyopo nchiniImefanya nn kiongozi
Uchumi wa tanga ulitegemea viwanda kwa kiasi kikubwa si ndio hivyo?umesahau lodilofa...alipoingia madarakani akabinafsisha viwanda vyote vya serikali kwa wawekezaji ...na ndio ukawa mwanzo wa kuua viwanda vyote vilivyopo nchini
DuhWaliwekeza kwenye kuswali,majungu,ushirikina,mapenzi ya kinyume na maumbile na yamewafikisha hapa walipo
Great thinker...Waliwekeza kwenye kuswali,majungu,ushirikina,mapenzi ya kinyume na maumbile na yamewafikisha hapa walipo
MmepoteaWrite your reply...bado tupo
Tanga bado ipo juu mkuu kwenye jambo lolote TOP 10 ya mikoa yenye afadhali ya maisha utaikuta ipo , ajabu mtu anaeibeza Tanga wakati mkoa wake upo kwenye mikoa 5 masikini zaidi Tanzania , nafikir nimeelewekaEti watanga mlipotelea wapi wazee. Nakumbuka kipindi nipo primary baba alinunulia Atlas. Sasa kwenye ile atlas kama wamechora ramani ya E.A unakuta kwa bongo wamelocate miji muhimu tu, na hiyo ilikuwa Tanga na Dar. Hata darasani sana sana viwanda tulifundishwa vya Dar, Tanga na Mwanza labda. Lakini sasa naona mambo ni tofauti. Tanga umekuwa mji wa kawaida sana. Hata baadhi ya watu wanaanza kuu-underrate. Nauliza Tanga city mlikwama wapi?
Kuanguka kwa zao la mkonge kumechangia sana kuporomoka kwa Tanga. Ikumbukwe kabla ya uhuru wanaume walipaswa kulipa kodi ya kichwa, sasa katika maeneo mengi ya nchi kupata fedha kwa ajili ya kulipa kodi ya kichwa ilikuwa ni suala kwa hiyo wanaume wengi walienda Tanga kufanya kazi katika mashamba makubwa ya mkonge na chai ili kupata fedha ya kumlipa mkoloni. Kwa hiyo watu wengi wa mikoa ya bara walikimbizana na kujazana Tanga sasa kama inavyoeleweka kuwa watu ni kichocheo cha uchumi Tanga ikanawiri kweli kweli. Kwa hiyo baada ya uhuru ingizo la watu Tanga lilianza kupungua na mkonge nao ukaanza kuwa sio biashara. Kwa hiyo pamoja na sababu nyingine hii ndiyo kubwa imechangia kuporomoka kwa maendeleo ya mkoa huu.Hata hivyo bado Tanga ni eneo zuri sana kiuchumi, muhimu ni wakazi wake kuamka na kuzitumia kwa kiasi cha juu rasirimali nyingi zilipo katika mkoa, na mkoa utarejea katika nafasi yake haraka sana.Eti watanga mlipotelea wapi wazee. Nakumbuka kipindi nipo primary baba alinunulia Atlas. Sasa kwenye ile atlas kama wamechora ramani ya E.A unakuta kwa bongo wamelocate miji muhimu tu, na hiyo ilikuwa Tanga na Dar. Hata darasani sana sana viwanda tulifundishwa vya Dar, Tanga na Mwanza labda. Lakini sasa naona mambo ni tofauti. Tanga umekuwa mji wa kawaida sana. Hata baadhi ya watu wanaanza kuu-underrate. Nauliza Tanga city mlikwama wapi?
Wako vizuri kwenye kiwanda cha mapenzi. Maana kijana ukizubaa tu unaweza kutongozwa na warembo.Waliwekeza kwenye kuswali,majungu,ushirikina,mapenzi ya kinyume na maumbile ndivyo vimewafikisha hapa walipo leo
Nimekuelewa....ila nadhani hapo mwishoni unamaanisha mwanza..., kwa mikoa linganisha..,ila upande wa majiji usirudieTanga bado ipo juu mkuu kwenye jambo lolote TOP 10 ya mikoa yenye afadhali ya maisha utaikuta ipo , ajabu mtu anaeibeza Tanga wakati mkoa wake upo kwenye mikoa 5 masikini zaidi Tanzania , nafikir nimeeleweka
Tanga viwanda bado vipo..., mafuta,vipodozi,simenti n.k...ila kibiashara imezorota kwelikweli...kusema kupungua kwa kilimo na uzalishaji wa mazao ya biashara kama mkonge ndo sababu kuu ya kuzorotesha mkoa sidhani kama ina mashiko sana... Mwanza ile ilitegemea sana pamba kama tanga ilivyotegemea mkonge....Kwa sasa biashara ya pamba imezorota ila wenyewe bado wanapiga hatua,umekuwa mji wa biashara na pilika pilika sasa...Tanga hata wakiamka kurudi nafasi waliyokuwa ni ndoto.Kuanguka kwa zao la mkonge kumechangia sana kuporomoka kwa Tanga. Ikumbukwe kabla ya uhuru wanaume walipaswa kulipa kodi ya kichwa, sasa katika maeneo mengi ya nchi kupata fedha kwa ajili ya kulipa kodi ya kichwa ilikuwa ni suala kwa hiyo wanaume wengi walienda Tanga kufanya kazi katika mashamba makubwa ya mkonge na chai ili kupata fedha ya kumlipa mkoloni. Kwa hiyo watu wengi wa mikoa ya bara walikimbizana na kujazana Tanga sasa kama inavyoeleweka kuwa watu ni kichocheo cha uchumi Tanga ikanawiri kweli kweli. Kwa hiyo baada ya uhuru ingizo la watu Tanga lilianza kupungua na mkonge nao ukaanza kuwa sio biashara. Kwa hiyo pamoja na sababu nyingine hii ndiyo kubwa imechangia kuporomoka kwa maendeleo ya mkoa huu.Hata hivyo bado Tanga ni eneo zuri sana kiuchumi, muhimu ni wakazi wake kuamka na kuzitumia kwa kiasi cha juu rasirimali nyingi zilipo katika mkoa, na mkoa utarejea katika nafasi yake haraka sana.
Mwanza ipo kwenye mikoa 5 masikini , wenye fedha wapo ila umasikini umejaa kwa wengi sanaNimekuelewa....ila nadhani hapo mwishoni unamaanisha mwanza..., kwa mikoa linganisha..,ila upande wa majiji usirudie
Labda kwa wilaya nyingine.... Ila si kwa zile manispaa mbili ndani ya jiji.Mwanza ipo kwenye mikoa 5 masikini , wenye fedha wapo ila umasikini umejaa kwa wengi sana
Ndio mkuu mwanza kubwa sasa ukifanya random sample inaonekana masikini ni wengi sana ndio maana ipo katika 5 bora za mikoa masikini , ila kuna watu wanajiweza sana japo wengi utajiri wao unapatikana Gamboshi( nakazia )Labda kwa wilaya nyingine.... Ila si kwa zile manispaa mbili ndani ya jiji.