Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,041
- 13,907
Eti watanga mlipotelea wapi wazee. Nakumbuka kipindi nipo primary baba alinunulia Atlas. Sasa kwenye ile atlas kama wamechora ramani ya E.A unakuta kwa bongo wamelocate miji muhimu tu, na hiyo ilikuwa Tanga na Dar. Hata darasani sana sana viwanda tulifundishwa vya Dar, Tanga na Mwanza labda. Lakini sasa naona mambo ni tofauti. Tanga umekuwa mji wa kawaida sana. Hata baadhi ya watu wanaanza kuu-underrate. Nauliza Tanga city mlikwama wapi?