ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 10,764
- 9,477
Mji saafi kabisa umepangika vizuri hakuna nyumba ya nyasi , wamejitahidi sana kuna sehemu Dar mvua ikinyesha ndio usafisha vyooPicha zitasaidia TangaView attachment 1347927View attachment 1347928View attachment 1347929
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni sehemu ndogo ya Mwanza sehemu kubwa ni hali mbaya , usidanganyike na magorofa unaweza kuta magorofa yote wamiliki ni 100 tu ,waliobaki ni kawaida sana na ndio hao wanafanya mwanzo iwe katika ile mikoa 5 masikini
Ndo hivyo mmeachwa sasa...kwa nn hao wawekezaji wasije kuwekeza tanga kwa wenye vipato vizuri....Kwa nn mall,supermarkets, miundombinu bora wajengewe masikini na si tanga kwenye unafuu... Kwa nn watu wavutiwe zaidi mwanza kwa masikini wasiende tanga kwa wenye vipato vizuri? Jibu ni rahisi sana...Ni mzunguko wa ankara ndo unaongea...maisha bora na burudani kwa ujumla ndo vinaongea... Mwanza city serikali ndo inatia mguu sahivi... Ile airport ilitakiwa ikamilike zamani sana... Lakini hadi leo bado haijakamilika japo karibuni wametia nguvu kidogo...Hakuna mji uliobebwa sana na serikali kati ya hiyo... Lakini kwa nn wao waweze,ninyi mshindwe...,ilhali ninyi ndo mlitangulia?...Baiskeli bado zinazunguka katikati ya mji wenu... Mmebaki kukimbilia dar huku mkiusahau mji wenu.... Eti serikali imewasahau!!! Serikali haijengei miji maghorofa mzee... Hayo yanajengwa na watu binafsi... Serikali kazi yake kupeleka miundombinu kulingana na potential ya huo mji kwa wakati huo... Sasa kama nyie mnapakimbia mnaenda uswazi dar serikali ifanyaje... In a nutshell, you deserve that status.Hiyo ni sehemu ndogo ya Mwanza sehemu kubwa ni hali mbaya , usidanganyike na magorofa unaweza kuta magorofa yote wamiliki ni 100 tu ,waliobaki ni kawaida sana na ndio hao wanafanya mwanzo iwe katika ile mikoa 5 masikini
Si maghorofa tu....hata miundombinu...Hiyo ni sehemu ndogo ya Mwanza sehemu kubwa ni hali mbaya , usidanganyike na magorofa unaweza kuta magorofa yote wamiliki ni 100 tu ,waliobaki ni kawaida sana na ndio hao wanafanya mwanzo iwe katika ile mikoa 5 masikini
Waliwekeza kwenye kuswali,majungu,ushirikina,mapenzi ya kinyume na maumbile ndivyo vimewafikisha hapa walipo leo
Idadi ya watu ndo huharibu mahesabu na kuifanya mwanza kuwa masikinNdio mkuu mwanza kubwa sasa ukifanya random sample inaonekana masikini ni wengi sana ndio maana ipo katika 5 bora za mikoa masikini , ila kuna watu wanajiweza sana japo wengi utajiri wao unapatikana Gamboshi( nakazia )
Muongezee na hiziSi maghorofa tu....hata miundombinu...View attachment 1348311View attachment 1348315View attachment 1348318View attachment 1348321
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye miundo mbinu Tanga hakuna tatizo kabisa ni KAPETI mwanzo mwisho , hapo tuko sambamba nafikir katika Miji iliopangwa ikapangika uwezi kuitoa TangaSi maghorofa tu....hata miundombinu...View attachment 1348311View attachment 1348315View attachment 1348318View attachment 1348321
Sent using Jamii Forums mobile app
Umemaliza na umezungumza kweli kabisa idadi ya matajiri wa Mwanza haifui dafu kwa wingi wa masikini hivyo ukitafuta PERCENTAGE automatically masikini watafunika Matajiri ndipo hapo mwanzo inapokuwa mkoa Masikini , hapa imeelewekaIdadi ya watu ndo huharibu mahesabu na kuifanya mwanza kuwa masikin
Mfano mwanza ina watu million 4.2 wakati tanga ina watu million 1.7
Kwa hiyo bas unakuta matajiri wa mwanza ni wengi kushinda idadi ya watu wote wa tanga
Mfano mwanza matajiri ni million 2.5 wakati idadi ya watu wa tanga ni million 1.7 hivyo unakuta mwanza inabikiwa na masikin wengi zaid pia
Ukilingisha na masikin walioko tanga nazan umenielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Na ushirikina..tumewekeza kwenye ngono
Baiskeli anaendesha PM wa UK itakuwa Tanga kwa wadigo ? nimekwambia hizo Supermarket wanaingia wenyewe masikini wa Mwanza hawana uwezo zaidi ya kuangalia kama MOVIE tu , halafu ata hao wawekezaji bado hawajaleta tija Mwanza ndio maana masikini bado wamebaki kuwa kundi kubwa kuliko hao wanaoingia supermarket, Utajiri usioleta faida kwa masikini katu hauwezi futa umasikini na hilo ndio liko mwanza , Tanga mbona wawekezaji ni wengi tu Tanga cement, Rhino Cement, Kilimanjaro cement, kuna kiwanda kikubwa cha Cement cha wachina kinajengwa kisosora nafikir , kiwanda cha chai, kiwanda cha vipodozi, Rhino chokaa , chokaa maweni n.k Tanga ukilinganisha na sehemu kubwa ya nchi hii bado Tanga ni imara sana achana na maneno ya mtaaniNdo hivyo mmeachwa sasa...kwa nn hao wawekezaji wasije kuwekeza tanga kwa wenye vipato vizuri....Kwa nn mall,supermarkets, miundombinu bora wajengewe masikini na si tanga kwenye unafuu... Kwa nn watu wavutiwe zaidi mwanza kwa masikini wasiende tanga kwa wenye vipato vizuri? Jibu ni rahisi sana...Ni mzunguko wa ankara ndo unaongea...maisha bora na burudani kwa ujumla ndo vinaongea... Mwanza city serikali ndo inatia mguu sahivi... Ile airport ilitakiwa ikamilike zamani sana... Lakini hadi leo bado haijakamilika japo karibuni wametia nguvu kidogo...Hakuna mji uliobebwa sana na serikali kati ya hiyo... Lakini kwa nn wao waweze,ninyi mshindwe...,ilhali ninyi ndo mlitangulia?...Baiskeli bado zinazunguka katikati ya mji wenu... Mmebaki kukimbilia dar huku mkiusahau mji wenu.... Eti serikali imewasahau!!! Serikali haijengei miji maghorofa mzee... Hayo yanajengwa na watu binafsi... Serikali kazi yake kupeleka miundombinu kulingana na potential ya huo mji kwa wakati huo... Sasa kama nyie mnapakimbia mnaenda uswazi dar serikali ifanyaje... In a nutshell, you deserve that status.
Tanga hakuna ushirikina labda Gamboshi hukoNa ushirikina..
Hatari sana[emoji45][emoji45]Waliwekeza kwenye kuswali,majungu,ushirikina,mapenzi ya kinyume na maumbile ndivyo vimewafikisha hapa walipo leo
Shida unaweka unazi huwa sijadili na watu wa namna yakoUmemaliza na umezungumza kweli kabisa idadi ya matajiri wa Mwanza haifui dafu kwa wingi wa masikini hivyo ukitafuta PERCENTAGE automatically masikini watafunika Matajiri ndipo hapo mwanzo inapokuwa mkoa Masikini , hapa imeeleweka
Nyie huko baiskeli ni daladala... Halafu huo umasikini waambie akina magu,misungwi,buchosa(spelling sijui)na wengineo huko... Mwanza city watu wapo vizuri na wanaspend....Halafu Dom ndo hivyo inatandaza mabavu... Tanga inazidi kupotea... Na potential imepotea..Coastal giant kabaki Dar es salaam pekee.... Wewe utabisha ili kuutetea mji wako lakini ukweli ndo huo... Picha tu zinadhihirisha hilo... Mpo dormant sana... Mtu akisikia Tanga anawaza mapenzi tu..,unadhani atafikir nn kingine? Hichohicho tu.. Vijana wachache sana wanaomaliza chuo ndo hupenda kwenda tanga kuanza maisha na wengi wakiwa ni wenyeji wa mkoa huo...miaka ya 1960's Tanga ilikuwa na population kama ya elfu arobaini na kitu hivi..mwanza 24000 hivi... Leo ninyi mnacheza laki mbili laki tatu... Wenzenu ni 1,120,000 (2020 UN population projections) Dar ni milioni sita huko... Nyie kwa sasa ndo mmekuwa wa kutafuta fursa kwenye mikoa ya wengine... Kuna sehemu mliteleza.. Na hutaki kukiri hilo ila unajificha kwenye kivuli cha umasikini wa mkoa wa mwanza....ilhali ilemela municipal ipo more modern kuliko tanga city.... Jipangeni wazee.Baiskeli anaendesha PM wa UK itakuwa Tanga kwa wadigo ? nimekwambia hizo Supermarket wanaingia wenyewe masikini wa Mwanza hawana uwezo zaidi ya kuangalia kama MOVIE tu , halafu ata hao wawekezaji bado hawajaleta tija Mwanza ndio maana masikini bado wamebaki kuwa kundi kubwa kuliko hao wanaoingia supermarket, Utajiri usioleta faida kwa masikini katu hauwezi futa umasikini na hilo ndio liko mwanza , Tanga mbona wawekezaji ni wengi tu Tanga cement, Rhino Cement, Kilimanjaro cement, kuna kiwanda kikubwa cha Cement cha wachina kinajengwa kisosora nafikir , kiwanda cha chai, kiwanda cha vipodozi, Rhino chokaa , chokaa maweni n.k Tanga ukilinganisha na sehemu kubwa ya nchi hii bado Tanga ni imara sana achana na maneno ya mtaani
Tanga ipo sambamba na mwanza kwenye miundombinu!!!?? Serious?Kwenye miundo mbinu Tanga hakuna tatizo kabisa ni KAPETI mwanzo mwisho , hapo tuko sambamba nafikir katika Miji iliopangwa ikapangika uwezi kuitoa Tanga
Hazungumzi uhalisia...Anatetea sana kwao.
Ndo mkoa pekee ambao usafiri unaotumia na abiria ni canterHazungumzi uhalisia...Anatetea sana kwao.
Tukubali tu. Kiongozi wa awamu ya kwanza alikuwa na vision na mzalendondio maana yake ..ni kama ambavyo moro ilivyo kuwa ya viwanda miaka ya 80 na mahali ilivyo hivi sasa...
pia wenyeji wa mji huo -wameshindwa kuambukizana chachu ya kutambua umuhimu wa elimu ...endapo kama wangekuwa wana zalisha generation ya vijana wengi waliosoma...ingesaidia kuendelea kuipigania tanga mahala ilipokuwa Roberto 20
TANGA KUNANI..... wagosi wa kaya
Nimekuelewa....ila nadhani hapo mwishoni unamaanisha mwanza..., kwa mikoa linganisha..,ila upande wa majiji usirudie
Idadi ya watu ndo huharibu mahesabu na kuifanya mwanza kuwa masikin
Mfano mwanza ina watu million 4.2 wakati tanga ina watu million 1.7
Kwa hiyo bas unakuta matajiri wa mwanza ni wengi kushinda idadi ya watu wote wa tanga
Mfano mwanza matajiri ni million 2.5 wakati idadi ya watu wa tanga ni million 1.7 hivyo unakuta mwanza inabikiwa na masikin wengi zaid pia
Ukilingisha na masikin walioko tanga nazan umenielewa
Sent using Jamii Forums mobile app