Tanga mlipotelea wapi?

Usitoe tens mfano kama huo weka data kama ulivyoweka magorofa ke###ng wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti nini Mwanza matajiri 2.5 unachekesha jamii

Sent using Jamii Forums mobile app
Jomba sasa unabisha nini

Msukuma mmoja ni sawa na wagosi million moja

Nyie endeleen kuiga waarabu kuanzia mavazi mpaka tamaduni

Wasukuma ni level nyingine aisee kuanzia tamaduni zake, kuchapa kazi, uchumi, biashara mpaka siasa hata majeshi tumeshika sisi wakati nyie mnafanya kazi za ndan kwa waarabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NDUGU acha maneno weka ushaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tanga ipo sambamba na mwanza kwenye miundombinu!!!?? Serious?
Tanga hakuna shida ya miundo mbinu popote panafikika , usambamba sio kweli maana miundombinu mingine inategemea jiografia ya eneo husika , hivyo hatuwezi fanana kila kitu , muhimu mkoa mzima umeunganishwa na lami na unafikika kwa urahisi nafikir umeelewa point yangu
 
Huu ni uwongo wa wazi, hapa umepanic
 
Unasema Tanga inapotea nikikwambia nitajie mikoa 10 yenye unafuu wa maisha Tanga haikosi , nikikwambia nitajie mikoa 10 masikini Tanga haiwezi kuwepo , sasa inapotea kwenda wapi ? nimekwambia Baiskeli ata PM wa UK anaendesha kujadili baiskeli ni ushamba ndugu , halafu hizo wilaya unazozikataa zote ni sehemu ya Mwanza kizuri cha mwanza na kibaya cha mwanza , ndio hapo mnapokuwa mkiani maana walalahoi ni wengi kuliko wenye nacho , mfano mzuri wahindi wanabeba samaki nyie mnaachiwa mapanki sasa masikini atafanya nini hapo
 
Cheki hii ripoti ya jafo na uache kutetea ujinga
Tanga wala sio kwetu ila nazungumza uhalisia maana nimeisha hapo mda mrefu , propaganda ni nyingi kuliko ukweli
MENU

[http://dar24]

MARIAM-ID

[https://i1]

NYUMBANIHABARIBURUDANIAJIRAMICHEZOMAGAZETIZAIDI

[https://i1]

HABARI

Mkoa wa Dar es salaam kinara ukusanyaji mapato

10 months ago Comments Offon Mkoa wa Dar es salaam kinara ukusanyaji mapato

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Selemani Jafo amesema kuwa Mkoa wa Dar es Salaam umeongoza kwa wingi wa mapato yaliyokusanywa kwenye mikoa yote kuanzia kipindi cha Julai hadi Machi mwaka huu wa fedha kuwa mkoa huo umekusanya sh. bilioni 118.4.

Ameyasema hayo jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari wakati akitoa taarifa ya mapato ya ndani ya halmashauri kwa kipindi cha robo ya tatu (Julai-Machi,2019) kwa mwaka wa fedha 2018/19.

Amesema kuwa mikoa ya Katavi, Rukwa, Kigoma, Manyara na Lindi imeburuza mkia kwenye ukusanyaji mapato ikilinganishwa na jumla ya makisio kwenye halmashauri za mikoa hiyo.

Aidha ameongeza kuwa mkoa wa Dodoma umeshika nafasi ya pili kwa kukusanya wingi wa mapato yaliyofikia sh. bilioni 57.3, ukifuatiwa na Mwanza (sh. bilioni 22.9), Arusha (sh. bilioni 22.8) na Mbeya ukikusanya sh. bilioni 19.8.

“Mikoa mitano ya mwisho kwa kigezo cha wingi wa mapato yaliyokusanywa ni Manyara (sh. bilioni 6.5), Lindi (sh. bilioni 6.1), Rukwa (sh. bilioni 5.8), Kigoma (sh. bilioni 4.5) na Mkoa wa Katavi (sh. bilioni 3.8),” amesema Jafo.

Waziri Jafo amesema kuwa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam nayo imeongoza kwa kigezo cha asilimia ambapo imekusanya asilimia 87 ya makisio, wakati Jiji la Dodoma likiongoza kwa kigezo cha wingi wa mapato kwa kukusanya sh. bilioni 50.

Aidha amesema halmashauri ya jiji la Tanga imekuwa ya mwisho kwa kukusanya asilimia 57 ya makisio yake, lakini pia imekuwa ya mwisho kwa kigezo cha wingi wa mapato kwa kukusanya sh. bilioni 8.7,”

Amezitaja Halmashauri tano za mwisho kwa kigezo cha wingi wa mapato ni Halmashauri ya Wilaya ya Madaba iliyokusanya sh. milioni 293.7 na Halmashauri ya Wilaya ya Newala (sh. milioni 268.3).

Zingine ni halmashauri ya Wilaya ya Kakonko (sh. milioni 238.6), Halmashauri ya Wilaya ya Buhigwe (sh. milioni 177.3) na Halmashauri ya Wilaya ya Momba imekusanya sh. milioni 170.4.

Amesema kuwa Halmashauri ya Mji wa Kondoa imeongoza kwenye kundi la Halmashauri za Miji kwa kigezo cha asilimia ambapo imekusanya asilimia 92 ya makisio yake, huku kwenye kundi hilo Halmashauri ya Mji wa Nanyamba imekuwa ya mwisho kwa kukusanya asilimia 12 ya makisio.

Video: Sugu amuomba kazi Rais Magufuli, aeleza anavyomuunga mkono

CCM Njombe yawataka Watanzania kuulinda na kuimarisha Muungano

LIVE: Ziara ya Rais Magufuli mkoani M

Halmashauri ya Mji wa Geita imeongoza kwa kigezo cha wingi wa mapato kwa kukusanya sh. bilioni 5.9 na Halmashauri ya Mji wa Nanyamba ikiburuza mkia kwa kukusanya sh. milioni 293.9.

Jafo amesisitiza kuwa uchambuzi huo umefanyika kwa kulinganisha makisio ya mwaka wa fedha 2018/19 kwa kushindanisha halmashauri hizo, makundi ya halmashauri na kimkoa.

Hata hivyo amesema kuwa wakurugenzi ambao halmashauri zao zimeshika nafasi ya mwisho ni vyema wakajitathimini kabla serikali haijaanza kuchukua hatua.

Habari kubwa katika magazeti ya Tanzania leo Aprili 27, 2019

Aliyemshtaki R Kelly kwa makosa ya kingono ashinda kesi

Share this:

Click to share on Twitter (Opens in new window)Click to share on Facebook (Opens in new window)Click to share on WhatsApp (Opens in new window)

Like this:

Loading...

Comments

comments

[http://dar24]

You might also like

[https://i0]

Membe alivyowasili kwenye Kamati ya CCM kuhojiwa

Habari14 hours ago Comments Offon Membe alivyowasili kwenye Kamati ya CCM kuhojiwa



[https://i2]

Video: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Februari 6, 2020

Bungeni/Habari15 hours ago Comments Offon Video: Yanayojiri Bungeni Dodoma leo Februari 6, 2020

[https://i1]

Membe afunguka alivyokipania kikao cha Kamati ya CCM leo

Habari15 hours ago Comments Offon Membe afunguka alivyokipania kikao cha Kamati ya CCM leo



[https://i2]

Kenya kuwarudisha nchini wanafunzi 85 waliopo China

Habari 1 day ago Comments Offon Kenya kuwarudisha nchini wanafunzi 85 waliopo China

[https://i1]

Video: Kilio cha King Kibadeni klabu ya Simba, Yanga , ”Timu zinatawaliwa na wageni sio sawa”

Habari/Michezo1 day ago Comments Offon Video: Kilio cha King Kibadeni klabu ya Simba, Yanga , ”Timu zinatawaliwa na wageni sio sawa”



[https://i0]

Video: HARMONIZE anaweza kuishiwa muda si mrefu? |Video mpya ya MARIOO YAIBUA ajabu lingine

Burudani/Habari1 day ago Comments Offon Video: HARMONIZE anaweza kuishiwa muda si mrefu? |Video mpya ya MARIOO YAIBUA ajabu lingine

Editor Picks

[https://i0]

Kamati za Bunge kujadili taarifa ya CAG

Habari 4 months ago Comments Offon Kamati za Bunge kujadili taarifa ya CAG

[https://i1]

Habari Picha: Rais Magufuli afanya mazungumzo na Mabalozi Ikulu

Uncategorized6 months ago Comments Offon Habari Picha: Rais Magufuli afanya mazungumzo na Mabalozi Ikulu

[https://i2]

Mwalimu mkuu atuhumiwa kumpa mimba mwanafunzi wake

Uncategorized8 months ago Comments Offon Mwalimu mkuu atuhumiwa kumpa mimba mwanafunzi wake

[https://i0]

Makala: Urafiki, uadui wa Osama Bin Laden na Marekani; Al-Qaeda na ‘ushetani’

Habari/Maisha/Makala9 months ago Comments Offon Makala: Urafiki, uadui wa Osama Bin Laden na Marekani; Al-Qaeda na ‘ushetani’

[https://i1]

Makala: Lowassa ataishi vipi na CCM hii? Sababu halisi za kurudi hizi hapa

Habari/Maisha/Makala/Siasa Zetu11 months ago Comments Offon Makala: Lowassa ataishi vipi na CCM hii? Sababu halisi za kurudi hizi hapa

[https://i1]

Mbivu mbichi za Maalim Seif, Prof. Lipumba machi 17, Katakata ya umeme yaanza

Magazeti 12 months ago Comments Offon Mbivu mbichi za Maalim Seif, Prof. Lipumba machi 17, Katakata ya umeme yaanza

POPULAR POSTS

[https://i0]

Video: HARMONIZE anaweza kuishiwa muda si mrefu? |Video mpya ya MARIOO YAIBUA ajabu lingine

[https://i0]

TFF yakanusha kufuta sheria namba 11 ya soka

[https://i0]

Mchezaji wa Uganda afungiwa maisha

[https://i2]

Eric Abidal anusuru kibarua chake FC Barcelona

[https://i2]

Eric Abidal: Tulisitisha kumsajili Aubameyang

[https://i0]

Vigogo kukutana robo fainali ligi ya mabingwa, kombe la shirikisho Afrika

[https://i1]

Video: Kilio cha King Kibadeni klabu ya Simba, Yanga , ''Timu zinatawaliwa na wageni sio sawa''

[https://i1]

Rungu lawashukiwa waamuzi waliofanya fyongo

[https://i1]

Membe afunguka alivyokipania kikao cha Kamati ya CCM leo

[https://i1]

Waziri Mkuu amjibu Mbowe, ''Vyama vya siasa havijazuiwa kufanya shughuli zake''

SUBSCRIBE TO DAR2



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wacha kuwaingiza wazungu ww.. Wao wanaendesha mountain bikes ambapo waweza zunguka tanga yote usiione... Ninyi mnaendesha mkulima mlizozifanya daladala... Cheki picha hapo chini ya usafiri wenu... Yaani Tanga lags behind among all cities... Eti maisha nafuu... Songwe wana maisha nafuu zaidi wapo wapi kwan... Mapato,miundombinu,shughuli za kiuchumi ndo zinadetermine potential ya mji au jiji...unafikir banks na services zitakufuata kisa sijui una maisha ya aina gan...kwanza hicho kipimo kipo highly affected na population ya watu... Unasema watu ni masikini huku wamekuoverlap almost mara tatu kwenye mapato... Ni akili hiyo kweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…