Tanga: Mume atuhumiwa kumuua mkewe, dada wa kazi kwa kuwanyonga na kuwatoboa macho

Tanga: Mume atuhumiwa kumuua mkewe, dada wa kazi kwa kuwanyonga na kuwatoboa macho

Polisi tz wanafeli hapa tu
Wanapo tangaza kumtafuta mtu
Fulani walitakiwa wawe wanaonesha(kuweka)picha yake
Na waisambaze ili watu wamtambue....
Unaweza kuta huyo mtu anawapita watu njiani kweupe
Anakimbia...
Na siajabu sahivi ashavuka na kaingia mombasa

Ova
 
msenge sana mzee kamuua mtoto wa watu kwa maugomvi yasiyomhusu. zee likikamatwa waniletee nimpe adhabu za kimochwari tunazowapa maiti wasumbufu.
Shemela maiti wasumbufu ndo zikoje na unazifanyaga nini?
 
Alishawanyonga ina maana walishakufa halafu akatoboa macho,kuna kitu kingine zaidi ya hapo...
Umewahi kusikia ukiua macho ya unayemuua yanaweka kumbukukumbu ya tukio la mwisho kabla ya kufa? Na kwamba wakifanya uchunguzi wa mwili, wataona sura ya mtenda tukio na atakamatwa na polisi 😃
 
Umewahi kusikia ukiua macho ya unayemuua yanaweka kumbukukumbu ya tukio la mwisho kabla ya kufa? Na kwamba wakifanya uchunguzi wa mwili, wataona sura ya mtenda tukio na atakamatwa na polisi 😃
Kama ndio hivyo basi muuaji pamoja na umri kusonga alikuwa mjanja mjanja kiasi frani, by the way hamna damu ya binadamu inapoteaga bure atakamatwa tu.
 
Punguzeni mdomo, wanaume wenye uthubutu wa kumpuuza mwanamke na kwenda kula tungi lako bar tuko wachache.

Nimeshashuudia kwa macho mke anamtukana matusi ya nguoni mume wake bila aibu, halafu mwingine anasema hawa watoto siyo wako na kila aina ya kashfa wakati watoto kiuhalisia huyo ndio biological father lakini mwanamke anamprovoke mwanaume makusudi kabisa.
Huyo mwanamke hafai, kwani hamuumizi mme tu bali hata watoto kwa.hayo maneno yake
 
Labda wameuwawa na aliyewau kamteka huyo Mzee kasepa naye.

Life background ya Mtuhumiwa itafutwe, inawezekana pia wauaji wamemteka kupoteza ushahidi.

Nyumba ni mali ya nani?, je hilo eneo ni potential? ana deni mahala marehemu na nyumba ni collateral?, Kuna wateja waliowahi kutaka hiyo nyumba au mali yeyote ya mtuhumiwa na mtuhumiwa akagoma kuuza?
Investigation ya uhakika inahitajika sana kupata majibu.

Huyo ambaye tunasema ndio mtuhumiwa aka muuaji kwanini awatoboe macho, alikuwa anaficha nini kama alipanga kutoweka.
Kuna jambo nyuma ya pazia wenye kazi yenu nimewapa tips mjaribu kwenda deep down.
Much Respect Mkuu your THINKING TOO BIG
 
Shemela maiti wasumbufu ndo zikoje na unazifanyaga nini?
nitamwaga siri za kambi.
mwanzo ukiianza kazi binafsi nilikua na huruma fulani kwa maiti. nilipoizoea kuna sijui niuite uwendawazimu 😂 au basi!
 
Wanaume wa siku hizi wana hasira za kike sana. Wanaume wa miaka hiyo walikuwa wanacheza na principles za kiume tu sio hisia.

Mwanaume anayefanya maamuzi kwa principles za kiume ikitokea mke kamtibua atampa warning,akikaidi anafanya maamuzi ya kiume.
Mke anakutibua unabeba kibegi chako,unahama nyumbani muache akae na kiburi chake. Kuendelea kufosi kukaa na mwanamke mkorofi au asiyejielewa kwa mwanaume ni kujiandalia mkeka wa matatizo.

Sasa kama hapa huyu mzee kuua chanzo chake ni kipi, why asingesepa mapema tu kabla hasira hazijamvaa.
Miaka 60 , mzaliwa WA mwaka 1964 unasema bado ni mwanamme wa siku hizi au hata habari haujasoma mkuu?
 
Labda wameuwawa na aliyewau kamteka huyo Mzee kasepa naye.

Life background ya Mtuhumiwa itafutwe, inawezekana pia wauaji wamemteka kupoteza ushahidi.

Nyumba ni mali ya nani?, je hilo eneo ni potential? ana deni mahala marehemu na nyumba ni collateral?, Kuna wateja waliowahi kutaka hiyo nyumba au mali yeyote ya mtuhumiwa na mtuhumiwa akagoma kuuza?
Investigation ya uhakika inahitajika sana kupata majibu.

Huyo ambaye tunasema ndio mtuhumiwa aka muuaji kwanini awatoboe macho, alikuwa anaficha nini kama alipanga kutoweka.
Kuna jambo nyuma ya pazia wenye kazi yenu nimewapa tips mjaribu kwenda deep down.
👍🤝
 
Tofauti ya umri Mbona ni kubwa sana ?
Miaka 40?
60-20 = 40

Lakini kwa wanaume wa Pwani ni kawaida hiyo.
Sema hao wanawake wadogo wengine pasua vichwa sana.
Usipoangalia Mwanaume utapata ugonjwa wa presha au kodu Kari au vyote hatari kubwa sana.
 
Unaoa mwanamke anataka kila siku mle michuzi tu (nyama na samaki),
Utafikirialipokuwa kwa baba yake walikuwa wakila hivyo kila siku.
Kila siku ataka Hela ya Sarę ya shughuli.
Mwanaume usipoangalia jakamoyo hiyoooo!
 
Habari za nuda huu ni:

Mwili wa Ali Baghdad wapatikana Sahare. Kutoka baharini. Haijathibitishwa ikiwa alijiua au aliuawa. Alidaiwa pesa na watu wengi. Angeweza pia kuuawa.

Nawashangaa wakosa sera hawajasema huyu nae alitekwa.
 
Habari za nuda huu ni:

Mwili wa Ali Baghdad wapatikana Sahare. Kutoka baharini. Haijathibitishwa ikiwa alijiua au aliuawa. Alidaiwa pesa na watu wengi. Angeweza pia kuuawa.

Nawashangaa wakosa sera, hawajasema huyu nae alitekwa.
 
Itakuwa labda hayo mambo ya madeni na tabia za mke kumpa jakamoyo.

Maana wanaume wa Pwani sio rahisi kumdhuru mwanamke Eti sababu ya wivu wa mapenzi huwa sio rahisi.
Labda itokee kwa nadra Iła naona sio rahisi
 
Back
Top Bottom