Tanga: Mwalimu ajinyonga kisa wivu wa mapenzi

Ni kama uhai hauna thamani tena! Maudhi kidogo tu mtu anajitundika!
 
🤣🤣🤣
Uzi una taarifa ya kifo lakini mmeugeuza kuwa Uzi wa comedy dahh !!!


Watu mnamnanga marehemu!!!
 
Swala la kuji-delete kwenye uso wa dunia kwa issue za kiwaki kama hizi kwangu ni big no..
 
Uzi unahusu walimu kaandike wa madaktari​
Uzi hauhusu walimu uzi unamhusu kijana wa miaka 32 aliyejinyonga kwa sababu zinazodhaniwa ni wivu wa Mapenzi. Au tuambie wapi imezungumzia walimu na ualimu , tukio la kujinyonga linauhusiano gani na kazi yake?
 
Very true, kwanza katika mapenzi hakuna siri.

Kwa sasa huyo Mjane yupo huru kwa watu kujichukulia.
 
Uzi hauhusu walimu uzi unamhusu kijana wa miaka 32 aliyejinyonga kwa sababu zinazodhaniwa ni wivu wa Mapenzi. Au tuambie wapi imezungumzia walimu na ualimu , tukio la kujinyonga linauhusiano gani na kazi yake?
Ni mwalimu, tunazungumzia changamoto za walimu​
 
Sina hela ila itabidi nitafute wa hadhi zangu wawe watatu watatu maana haya mambo ni magumu sana R.I.P
 
Baada ya ugomvi huo, Enock alikuwa hatoki nje. Mchana alikuwa anakaa ndani pekee yake, usiku kidogo ndio anaenda dukani kununua mikate au viazi."
Depression is real
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…