Pre GE2025 Tanga: Mwenyekiti CCM akabidhi vishkwambi kwa Madaktari Hospitali ya Wilaya Pangani ili kuwarahisishia kazi zao

Pre GE2025 Tanga: Mwenyekiti CCM akabidhi vishkwambi kwa Madaktari Hospitali ya Wilaya Pangani ili kuwarahisishia kazi zao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Huu ndio muda wao kutuoneshe ni watu wenye moyo sana na huruma mwingi, wenye kutoa bila choyo😂😂

Kupata taarifa za kimkoa kuhusu Uchaguzi Serikali za Mitaa ingia hapa: LGE2024 - Special Thread: Orodha ya Mijadala ya Mikoa yote Tanzania Bara inayoshiriki katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

===


Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Tanga, Rajabu Abdulrahamani amekabidhi Vishikwambi 8 vyenye thamani ya shilingi Milioni 5 kwenye Hospitali ya Wilaya ya Pangani kwa ajili ya kuwasaidia madaktari ili kuwarahisishia kufanya kazi zao.

Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
 
Back
Top Bottom