S sacred wall JF-Expert Member Joined Aug 9, 2017 Posts 804 Reaction score 1,322 Jan 2, 2022 #1 Jamani Tanga kunani? Mbona juakali linaua viumbe? Ukame tena jamani! Kalinyesha ka mvua kidogo tukapata majani kidogo, sasa ni jua kama la tanuru la Moto.
Jamani Tanga kunani? Mbona juakali linaua viumbe? Ukame tena jamani! Kalinyesha ka mvua kidogo tukapata majani kidogo, sasa ni jua kama la tanuru la Moto.
orturoo JF-Expert Member Joined Mar 13, 2017 Posts 2,947 Reaction score 4,876 Jan 2, 2022 #2 Ombeni mpate ya kiasi na msinung'unike maana inaweza nyesha ukatamani hilo jua ,
Dorome JF-Expert Member Joined Nov 11, 2021 Posts 397 Reaction score 746 Jan 2, 2022 #3 Labda huko Tanga jiji ila sisi huku Wilayani ni full kijani.
samurai JF-Expert Member Joined Oct 16, 2010 Posts 11,495 Reaction score 24,223 Jan 2, 2022 #4 waliokuwa Dar es salaam nao wasemeje...?
adriz JF-Expert Member Joined Sep 2, 2017 Posts 12,207 Reaction score 26,521 Jan 2, 2022 #5 Siyo kila kitu laana hata Manaabii na vipenzi vya Mwenyezi Mungu walipata matatizo mazito lkn ilikuwa ni mitihani tu baadae mambo yakawa shwari tu .
Siyo kila kitu laana hata Manaabii na vipenzi vya Mwenyezi Mungu walipata matatizo mazito lkn ilikuwa ni mitihani tu baadae mambo yakawa shwari tu .
Lamisa Danish JF-Expert Member Joined Nov 17, 2019 Posts 284 Reaction score 627 Jan 2, 2022 #6 adriz said: Siyo kila kitu laana hata Manaabii na vipenzi vya Mwenyezi Mungu walipata matatizo mazito lkn ilikuwa ni mitihani tu baadae mambo yakawa shwari tu . Click to expand... Bora umeniwahi kusema hili,wabongo kila kitu ni laana tu.hawataki shida ya aina yeyote utafikiri mitume na manabii wao waliishi raha mustarehe kabisa. Hata wasio na dhambi Kuna wakati mitihani,majaribu na mapito wanapitia ili kupima imani zao. Tuweni na Imani wana Tanga wenzangu
adriz said: Siyo kila kitu laana hata Manaabii na vipenzi vya Mwenyezi Mungu walipata matatizo mazito lkn ilikuwa ni mitihani tu baadae mambo yakawa shwari tu . Click to expand... Bora umeniwahi kusema hili,wabongo kila kitu ni laana tu.hawataki shida ya aina yeyote utafikiri mitume na manabii wao waliishi raha mustarehe kabisa. Hata wasio na dhambi Kuna wakati mitihani,majaribu na mapito wanapitia ili kupima imani zao. Tuweni na Imani wana Tanga wenzangu