Kwani aliendaje huko.So baada yakupigwa risasi za mauaji na utawala huu.Nia yenu ni kutaka kuuweka utawala was kifalume kitu ambacho wengine tusinge tamani kuishi katika nchi yenye imla .Tunawaona watawala wanachapa viboko watu baada ya ushindi wenu feki