Tunaitaji tawi jingine la bank ya crdb bank..maana hii iliopo imeshazidiwa na wateja wengi sana..unaweza kuingia bank ya CRDB ukatumia taklibani masaa matatu na zaidi na wakati ni kazi ya dakika tuu.Wahusika lifanyieni kazi hili jambo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.