Tanga tunaitaji Branch nyingine ya CRDB Bank

Tanga tunaitaji Branch nyingine ya CRDB Bank

Fakharu

Member
Joined
Nov 9, 2013
Posts
60
Reaction score
2
Tunaitaji tawi jingine la bank ya crdb bank..maana hii iliopo imeshazidiwa na wateja wengi sana..unaweza kuingia bank ya CRDB ukatumia taklibani masaa matatu na zaidi na wakati ni kazi ya dakika tuu.Wahusika lifanyieni kazi hili jambo
 
tafuta kisanduku chao cha maoni au website yao uwasilishe hoja yako
 
Kwani humu ndani hawapo wahusika..ndio maana JF inavipengele unandika chochote iliwatu wapate Taharifa
 
Back
Top Bottom