Fakharu Member Joined Nov 9, 2013 Posts 60 Reaction score 2 Mar 5, 2014 #1 Tunaitaji tawi jingine la bank ya crdb bank..maana hii iliopo imeshazidiwa na wateja wengi sana..unaweza kuingia bank ya CRDB ukatumia taklibani masaa matatu na zaidi na wakati ni kazi ya dakika tuu.Wahusika lifanyieni kazi hili jambo
Tunaitaji tawi jingine la bank ya crdb bank..maana hii iliopo imeshazidiwa na wateja wengi sana..unaweza kuingia bank ya CRDB ukatumia taklibani masaa matatu na zaidi na wakati ni kazi ya dakika tuu.Wahusika lifanyieni kazi hili jambo
W Wajad JF-Expert Member Joined Jul 20, 2012 Posts 1,321 Reaction score 604 Mar 5, 2014 #2 tafuta kisanduku chao cha maoni au website yao uwasilishe hoja yako
Fakharu Member Joined Nov 9, 2013 Posts 60 Reaction score 2 Mar 5, 2014 Thread starter #3 Kwani humu ndani hawapo wahusika..ndio maana JF inavipengele unandika chochote iliwatu wapate Taharifa
Kwani humu ndani hawapo wahusika..ndio maana JF inavipengele unandika chochote iliwatu wapate Taharifa