Tanga waenda leo warudi leo

Tanga waenda leo warudi leo

jitu la kale

Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
77
Reaction score
18
Jaman wadau naomba kujua huu msemo na umeanzia lini na kwann upo, "TANGA WAENDA LEO WALUDI LEO"
 
full msemo ni hivi:

WAJA LEO WAONDOKA LEO,KISHA WANTAKA,AKHUUUU SITAKI MIE'.

Jitu la kale sasa umeelewa maana yake? mambo ya Pwani hayo ati,chapati shurti kwa mchuzi sio chai.
 
Back
Top Bottom