baba-mwajuma
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 4,178
- 7,591
Kwamba Msambaa ni mvivu kuliko Mchaga? Ama mzigua? Na hata hao wa Tanga mjini wengi ni smart, mabilionea na ma multi milionea wengi Nchi hii wametoka Tanga ama shughuli zao nyingi zina Involve huo mkoa. Watu wa Tanga wana Exposure na Akili kushinda Maeneo mengi nchi hii.Hakuna aliyesema wachaga pekee nachosema ni kwamba wachaga siyo wavivu, sasa wachaga utalinganisha na watu wa Tanga mkuu?
Tanga hii hii nayoifahamu? acha utani basi mkuuKwamba Msambaa ni mvivu kuliko Mchaga? Ama mzigua? Na hata hao wa Tanga mjini wengi ni smart, mabilionea na ma multi milionea wengi Nchi hii wametoka Tanga ama shughuli zao nyingi zina Involve huo mkoa. Watu wa Tanga wana Exposure na Akili kushinda Maeneo mengi nchi hii.
Ongea kwa data, mimi nimeongea kwa data juu Tanga ni mkoa wa Tatu Tanzania nzima kwa viwanda, nchi nzima mnasubiria Tanga kwanza Tusage Mawe, tukimaliza tutengeneze poda halafu Tu supply viwandani mtengeneze Rangi, Grout za Tiles na vinginevyo, karibia kila nyumba unayoiona Nchi hii part imetumika nguvu ya watu wa Tanga. Hapa naongelea Neelkhant na Maweni source ya karibia poda yote Nchi nzima.Tanga hii hii nayoifahamu? acha utani basi mkuu
Hawa ni waarabu na wahindi siyo watanzania, taja akina Mokiwa, Kilonzo, MakambaOngea kwa data, mimi nimeongea kwa data juu Tanga ni mkoa wa Tatu Tanzania nzima kwa viwanda, nchi nzima mnasubiria Tanga kwanza Tusage Mawe, tukimaliza tutengeneze poda halafu Tu supply viwandani mtengeneze Rangi, Grout za Tiles na vinginevyo, karibia kila nyumba unayoiona Nchi hii part imetumika nguvu ya watu wa Tanga. Hapa naongelea Neelkhant na Maweni source ya karibia poda yote Nchi nzima.
Sisi tukasababisha msipauke, wengi hamuwezi kununua vipodozi vya nje, Vipodozi vya ndani karibia vyote kuanzia Baby care, Vasteline, Cocoa Butter, Family care, skala, podoa etc in short hakuna wilaya utaingia dukani usikute vipodozi vya Tppl ama Mamujee.
Unapoongelea Investment kubwa na matajiri wakubwa kama kina Gsm, Shoppers, Hao kina Home shopping, Bin slum, Oil Com etc wote asili yao ni Huko Tanga. Na hata ambao hawatoki Tanga kama Kina MO na Bakhresa utakuta wana strong connection huko.
Hapo Bado cement, Matunda, umeme, spices na vitu kibao.
In short kuuita mkoa ambao kila mwaka upo Top 10 ya kuchangia pato la Taifa kama wa wavivu ni "uvivu" wa kufikiri.
1. Kuita waarabu na wahindi sio Watanzania kunaonesha upeo wako, waarabu wapo Tanga for more than 1000 years kabla ya wengi hao unaowataja hata hawajahamia Tanzania.Hawa ni waarabu na wahindi siyo watanzania, taja akina Mokiwa, Kilonzo, Makamba
Wewe utakuwa mwendawazimu, kuna mchaga siyo mkulima au mfugaji? sema wanafunga kisasa siyo kienyeji
Umewahi ona mchaga mkulima, mfugaji, mvuvi? Kwa taarifa yako hakuna kabila wavivu km wachaga. Wachaga ni wachuuzi si wazalishaji.
Yeye anadhani kufuga ni kuongozana na makundi ya ng'ombe poriniHata mimi nimemshaangaa mno kwa kuandika hayo.
Siwezi kukutaja ila nitakufuata unisindikizeHa ha ha ha USINITAJE HUKO....naogopa zongo na mwangeni.....