Tang'ana is sick.

Tang'ana is sick.

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Wakuu kwema?
Naumwa hatari,malaria imenikamata ipasavyo.niombeeni hali yangu itengemae ili tuendelee na shughuli za ujenzi wa taifa.
 
Pole sana, kunywa maji mengi pamoja na glucose upate nguvu ya kwenda kufanyiwa vipimo zaidi. Pia zingatia matumizi sahihi ya dawa utakazopatiwa. Mkono wa Muumba uwe juu yako upate kupona haraka.
 
weka source.

lete link.

oooh kumbe unazungumzia ugonjwa.

pole sana.
 
Back
Top Bottom