Tupe uthibitishoTanganyika haijawahi tawaliwa na mwingereza hivyo kusema ilipata uhuru toka kwa mwingereza ni uongo
Tanganyika ilikuwa tu protectorate sio colony la muingereza
Wanaosema waingereza walikuwa wakoloni waongo
KUWA NA STATUS YA PROTECTORATE BADO TULIKUWA NI KOLONI TU!Tupe uthibitisho
Kasome history wewe ya sekondari tuTupe uthibitisho
Wewe ndie hujasoma historia umesoma vitabu vya historia vya waongo vinavyotakiwa kuondolewa mashuleniHakusoma somo la historia huyu
Sahihi kabisaKwa maana hio Tanganyika haikupata uhuru mwaka 1961, sasa je ilipata uhuru mwaka gani?
Mimi bado najiuliza maswali. Je, ili ijulikane kuwa ni ukoloni lazima umwagaji damu ufanyike au mapinduzi yatokee?Sahihi kabisa
Na ni Sahihi sasa hivi sherehe zinazoitwa za uhuru kufutwa na pesa zilizotengwa kwa shughuli hizo ziende kwenye matumizi mengine
Unapataje uhuru toka kwa mwingereza anbaye hajawahi kuwa mkoloni wako?
Utapeli mtupu
Kilichofanyika ni yeye tu mwingereza kujiondoa jukumu la kazi za protectorate tu.Hakuondoka kama mkoloni ndio maana hata makabidhiano hayakuhusisha umwagaji damu kama Kenya kwa mau mau ambako mwingereza alikuwa mkoloni wao
ni uvamizi wa kihuni tuUrusi ingevamia hadi Ikulu ya Ukraine tungesemaje
Lkn ndio kutawaliwa hvy sasani uvamizi wa kihuni tu
Aliyesaini hati ya uhuru ni naniWewe ndie hujasoma historia umesoma vitabu vya historia vya waongo vinavyotakiwa kuondolewa mashuleni
Mwingereza hajawahi kuwa mkoloni
Na chaguzi za nchi zilikuwa zikifanyika kama kawaida mwingereza wala hakuweka wagombea ni wananchi tu wa Tanganyika ndio walichagua viongozi wao kuanzia wabunge ,Madiwani hadi mawaziri wakati wa mwingereza
.. na tulipata uhuru toka kwa mtawala gani?Aliyesaini hati ya uhuru ni nani