Tanganyika haikuwahi kukaliwa na watu

Hivi sawa, lakini uliunganisha yote katika sentensi moja na kutaja miaka milioni. Tena Olduvai hawakuwa Homo sapiens. Hakuna uthibitisho kwamba hao walioacha nyayo walikuwa mababu zetu.

Manyani ni mababu zangu, kama wewe unawakana lwako?
 
Manyani ni mababu zangu, kama wewe unawakana lwako?
Si rahisi vile. Ukifuata majadiliano ya wataalamu, wamegundua aina mbalimbali za viumbe ambavyo havikuwa nyani tena lakini havikuendelea vilipotea. Havikuingia katika homo sapiens ambao ni sisi.
Si jambo la kukana chochote, ni elimu kidogo tu.
 
Mtafiti hizo "Spices za watu tofauti" una maanisha viungo kama vya pilau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…