OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 426
- 685
Inategemea na uelewa wako dhidi ya makabila, ila sio wenyeji wote wa Pwani au Morogor wana asili mojaNi vyema kusema kuwa wenyeji wa Pwani au Morogoro asili yao ni Senegal. Huwa siamini katika Makabira na Ukabira kama utambulisho.
Na kwa kusoma uliyoandika nimegundua haujui chochote kuhusu historia ya mwanadamu!
Thus hata claim yako imebaki kwenye demography bila kuwea matukio ya kihistoria kama utumwa nk.
Pia umesahau hata magonjwa hupunguza idadi ya watu.
Umekosa namna ya kuweka hoja kwa masuala mengine.
Pia nimeona hujui historia kwa kusema wenyeji wa Morogoro/Pwani kwamba hakika haujui kuhusu historia kabisa, na makabila hauyajui kabisa, labda unadhana ya makabila kwa usasa na sio uhalisia wa Makabila