Tanganyika haikuwahi kukaliwa na watu

Tanganyika haikuwahi kukaliwa na watu

Ni vyema kusema kuwa wenyeji wa Pwani au Morogoro asili yao ni Senegal. Huwa siamini katika Makabira na Ukabira kama utambulisho.
Inategemea na uelewa wako dhidi ya makabila, ila sio wenyeji wote wa Pwani au Morogor wana asili moja

Na kwa kusoma uliyoandika nimegundua haujui chochote kuhusu historia ya mwanadamu!

Thus hata claim yako imebaki kwenye demography bila kuwea matukio ya kihistoria kama utumwa nk.

Pia umesahau hata magonjwa hupunguza idadi ya watu.

Umekosa namna ya kuweka hoja kwa masuala mengine.

Pia nimeona hujui historia kwa kusema wenyeji wa Morogoro/Pwani kwamba hakika haujui kuhusu historia kabisa, na makabila hauyajui kabisa, labda unadhana ya makabila kwa usasa na sio uhalisia wa Makabila
 
Huyu ni Mzungu mswahili anajaribu kujifunza historia ya Kwao(uswahilini).
 
Ni Tanganyika hakika, upande wa pwani na ukitizama Coast ni walowezi kutoka Mashariki ya kati au Bahari ya Hindi.

Lengo langu kuhusianisha demographic ya watu wa sasa na enzi hizo, kufahamu je wazawa walikuwapo? Sijui kama umenielewa!

Mwanza, Tabora, Mbeya, Kilimanjaro and co.. kulikuwa na wakazi? Something like that....
Kulikua hakuna Tabora kulikua na Unyanyembe Kingdom waarabu walikuja wakaikuta sembuse hao wajerumani wa juzi kati
 
wapi Ibni Batuta alisema kakuta wabantu kilwa?
Ulifeli darasani wewe. Swali hapa ni kwamba Tanganyika haikuwahi kukaliwa na watu takriban karne 4 zilizopita. Sasa wewe unaanza oh waarabu oh wabantu sijui nini. Ujinga mtupu. Sina muda wa kujibizana na vilaza dizaini yako, unaelewa?
 
....Hadi ujio wa Germany, Tanzania ilikuwa na wahamiaji na watu wachache sana.....
 
Kuhusu kuwa na idadi ya watu milioni 8 mwaka 1961 haiwezi kuwa na mashiko sana

Hata nyakati zimebadilika, kasi ya kuzaa imeongezeka, hatuwezi kulinganisha kasi ya wakati wa maadili, wakati ambao mtu kujamiiana ni mpaka afikishe Miaka 30 na achaguliwe mchumba kwa process maalum na wazazi na kizazi cha sasa ambacho ngono ni kitu gani bwana

Kwahiyo pengine idadi ndogo ni kutokana na kasi ndogo ya kuzaana na maisha ya kuhama hama

Nimesikia mtoa post ni PHD Holder, zamani niliitamani sana hii level ya kielimu

Sent using Jamii Forums mobile app
Oke nimekuelewa vizuri.

Kwa hapa "Nimesikia mtoa post ni PHD Holder, zamani niliitamani sana hii level ya kielimu" Hapana ni mtu flani tu asiyekuwa na vyeti.
 
  • Thanks
Reactions: T11
Inategemea na uelewa wako dhidi ya makabila, ila sio wenyeji wote wa Pwani au Morogor wana asili moja

Na kwa kusoma uliyoandika nimegundua haujui chochote kuhusu historia ya mwanadamu!

Thus hata claim yako imebaki kwenye demography bila kuwea matukio ya kihistoria kama utumwa nk.

Pia umesahau hata magonjwa hupunguza idadi ya watu.

Umekosa namna ya kuweka hoja kwa masuala mengine.

Pia nimeona hujui historia kwa kusema wenyeji wa Morogoro/Pwani kwamba hakika haujui kuhusu historia kabisa, na makabila hauyajui kabisa, labda unadhana ya makabila kwa usasa na sio uhalisia wa Makabila
Sawa mkuu, hupo sahihi.
 
Ulifeli darasani wewe. Swali hapa ni kwamba Tanganyika haikuwahi kukaliwa na watu takriban karne 4 zilizopita. Sasa wewe unaanza oh waarabu oh wabantu sijui nini. Ujinga mtupu. Sina muda wa kujibizana na vilaza dizaini yako, unaelewa?

Watu walikuepo pwani nasio bara, Bara ndio kulikua hakuna watu.

Na huko pwani kulikua kukikaliwa na Waarabu na Wapersia kabla ya wabantu kuingia
 
Wewe unazungumza nini sasa. Kwa hiyo Waarabu na hao Wapersia sio watu sio?
 
Back
Top Bottom