mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
AmenMungu simama na Tanganyika na vijana wake shupavu.
Amen!!
NIyeye aumbae na kuharibu , kama alivyohamisha ufalme wa Sauli kwenda kwa Daudi, ndivyo hivyo hujitwalia utukufu wake kupitia wale washupazao Shingo zaoAmen
Ila ujue ni Mungu ndiye huweka tawala zote za mataifa yote!, hivyo huyu aliletwa na Mungu na almanusura, aondoshwe, ni Mungu amemrudisha, hivyo hili ndilo chaguo la Mungu kwa Tanzania ya 2025 -2030
ila huyu Mungu ni Mungu wa ajabu!, kuna wakati huifanya migumu mioyo yao na kumwacha shetani atamalaki kwa muda tuu...
P
Naunga mkono hoja, hata ufalme wa JPM aliuhamishia kwa Samia, yeye Rais Samia hajui kuwa kuna sababu, anajihesabu ni kudra tuu ya Mwenyenzi Mungu.NIyeye aumbae na kuharibu , kama alivyohamisha ufalme wa Sauli kwenda kwa Daudi, ndivyo hivyo hujitwalia utukufu wake kupitia wale washupazao Shingo zao
Mkuu vita inahusisha silaha zote ambazo binadamu anaweza kubeba ikiwemo Imani..wakati tunapambana kimwili , lazima tujipe moyo wa tumaini pia kwamba tunasababu nyingi za kushindq vita yetu !!, hata wew mpagani unaweza amini tu kwamba mizimu ya Babu zako inakulinda na ukashinda .Usihofu mkuu , ushindi uko upande wetuTusianze kuomba kupewa msaada na vitu vya kusadidikika...
Jitihada za kuuwasha moto hazikusaidiwa chochote na imani za kuomba miujiza, bali zilifanyika kwa maamuzi ya akili na tuendelee kutumia maamuzi ya akili kujipanga kwa yale yaliyokosewa kwenye harakati za ushindi ili tukianza tena tuitumie akili kujua tulipopwaya....
Tukianza kubweteka na imani za miujiza hatutafika popote.....
Ushindi na Watu wanakufa jamani, hizo damu zinazomwagika ni laana kwa TanzaniaMkuu vita inahusisha silaha zote ambazo binadamu anaweza kubeba ikiwemo Imani..wakati tunapambana kimwili , lazima tujipe moyo wa tumaini pia kwamba tunasababu nyingi za kushindq vita yetu !!, hata wew mpagani unaweza amini tu kwamba mizimu ya Babu zako inakulinda na ukashinda .Usihofu mkuu , ushindi uko upande wetu
Tokea 29 October, sisi ni Tanganyika sio TanzaniaUshindi na Watu wanakufa jamani, hizo damu zinazomwagika ni laana kwa Tanzania
kweliTokea 29 October, sisi ni Tanganyika sio Tanzania