Tanganyika imekuwa brand kubwa mwaka huu

Tushukuru serikali hii ya wezi wa kura kwa kurudisha Tanganyika. Kwa msio jua Tanganyika ni jina la wasambaa. Kama kuna mtu anauza tshirt za Tanganyika nipeni link
ok.🐒
 
Hiyo Tanganyika yenu, sisi wa Obukama bwa Kiziba, hatumo na hatutaki kuwa ndani ya Tanganyika. Hatuna unasaba na watu Wasambaa wala Wagogo. Tunataka tujitenge!
 
Sio kesi, kila mtu ale alikopeleka mboga.
 
Tushukuru serikali hii ya wezi wa kura kwa kurudisha Tanganyika. Kwa msio jua Tanganyika ni jina la wasambaa. Kama kuna mtu anauza tshirt za Tanganyika nipeni link
Nini maana ya Tanganyika kwa kisambaa mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…