Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Miaka 70Habari. Hivi hili eneo ambalo leo ni Tanganyika, limetawaliwa na wakoloni kwa muda wa miaka mingapi. Mkutano wa Berlin ulifanyika mwaka 1885...
Miaka ya 1890 wahehe bado walikuwa wanapigana wakigoma kutawaliwa.Miaka 70
Lycoon,Habari. Hivi hili eneo ambalo leo ni Tanganyika, limetawaliwa na wakoloni kwa muda wa miaka mingapi. Mkutano wa Berlin ulifanyika mwaka 1885. Lakini hadi mwaka 1898 Mkwawa alikuwa akipigana na wajerumani.
Mwaka 1907 vita ya majimaji ikaisha. Mpaka wakati huu mkoloni alikuwa ameishaweka mizizi yake kwenye enoe lote la Tanganyika?
Najua sehemu mbalimbali ziliwatawaliwa kwa wakati tofauti, mfani miji ya pwani ilikuwa chini ya waarabu kwa miaka mingi kabla.
Sasa, tunavyosema Tanganyika ilitawaliwa na wakoloni, ilitawaliwa kuanzia mwaka gani? ilitawaliwa kwa miaka mingapi?
Sijajua hasa uhusiano na wenyeji ulikuwaje. Ila walianzisha miji kama Tabora, na moja ya vita yao na Mirambo ilikuwa kupinga ubwana wao. Na waandishi wengine wanadai hali ya waarabu wa Tabora ilidhoofu sana baada ya kuingia wajerumani, maana wenyeji hawakuwatumikia tena.Lycoon,
Waarabu walikuwa wakiishi Tanganyika kwa miaka mingi lakini hawakuwa watawala.
Hili liko wazi.
Wakoloni weusini mwaka wa 61 sasa toka wakoloni CCM waikamate nchi.
Sijaua hasa uhusiano na wenyeji ulikuwaje. Ila walianzisha miji kama Tabora, na moja ya vita yao na Mirambo ilikuwa kupinga ubwana wao. Na waandishi wengine wanadai hali ya waarabu wa Tabora ilidhoofu sana baada ya kuingia wajerumani, maana wenyeji hawakuwatumikia tena.