Tanganyika ina wenyewe na wenyewe ndiyo sisi

Tanganyika ina wenyewe na wenyewe ndiyo sisi

Ni kweli Tanganyika ni ya watanganyika sisi, na tuna uchungu nayo.
Lakini mwisho wa siku Royal families za Tanganyika ndio zitakua na maamuzi ya nini kifanyike Tanganyika, au mpaka tuamue kuamka na huchukua hatua.

Long Live Tanganyika.
Wao! I like it! Kwa herufi kubwa kabisa, LONG LIVE TANGANYIKA!

Najisikia furaha sana kutamka TANGANYIKA!!!

What a blessed Country, TANGANYIKA!!!
 
Ww embu Acha mawazo finyu mnataka mgawanyo kwa faida ipi?
Tulikubaliana Tuuwe mama zetu! Mimi mama yangu Tanganyika nikamuua![emoji24][emoji24]
Nilipo gundua mwenzangu zenj hakumuua mama yake ilaha amemficha!
Nikampa Ushauri Nimfufue mama yangu au kama si hivyo!; na wewe umuue mama yako ili wote tubaki wakiwa¡!
Jibu nililo pata ni la kiçhokozi kama lako; mama yangu simuuwi na mama yako marufuku kumfufua![emoji35][emoji35]
 
Tanganyika, Tanganyika, nakupenda kwa moyo wote,

Nchi nzuri Tanganyika, jina lako lavuma sana!

Watu wako ni wakarimu sana, wawajali sana majrani,

Tanganyika, Tanganyika, utashinda viunzi vyote!
 
Wamekuambia? Jisemee na nafsi yako
Karibia kila Mtanganyika wa sasa anaitaka Tanganyika yake.

Fuatilia mada za mitandaoni na hata nyumba za ibada. Kila mahali, Tanganyika, Tanganyika, Tanganyika...

Wenye Tanganyika yao wameamka.
 
Karibia kila Mtanganyika wa sasa anaitaka Tanganyika yake.

Fuatilia mada za mitandaoni na hata nyumba za ibada. Kila mahali, Tanganyika, Tanganyika, Tanganyika...

Wenye Tanganyika yao wameamka.
Mh
 
Back
Top Bottom