GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
- Thread starter
-
- #21
Wao! I like it! Kwa herufi kubwa kabisa, LONG LIVE TANGANYIKA!Ni kweli Tanganyika ni ya watanganyika sisi, na tuna uchungu nayo.
Lakini mwisho wa siku Royal families za Tanganyika ndio zitakua na maamuzi ya nini kifanyike Tanganyika, au mpaka tuamue kuamka na huchukua hatua.
Long Live Tanganyika.
Tulikubaliana Tuuwe mama zetu! Mimi mama yangu Tanganyika nikamuua![emoji24][emoji24]Ww embu Acha mawazo finyu mnataka mgawanyo kwa faida ipi?
Karibia kila Mtanganyika wa sasa anaitaka Tanganyika yake.Wamekuambia? Jisemee na nafsi yako
MhKaribia kila Mtanganyika wa sasa anaitaka Tanganyika yake.
Fuatilia mada za mitandaoni na hata nyumba za ibada. Kila mahali, Tanganyika, Tanganyika, Tanganyika...
Wenye Tanganyika yao wameamka.