Hawa washauri wanapata bei gani kwenye huu/hii miradi? Chanzo cha mapato kinatoka wapi?
Mpaka uchaguzi upite kuna watu watakuwa matrilionea..
Anyway tumsikilize Dr. Bagonza PhD kwanza kabla ya karamu ya mapichapicha...😭View attachment 3256161
Hii kweli PhDHawa washauri wanapata bei gani kwenye huu/hii miradi? Chanzo cha mapato kinatoka wapi?