Tanganyika Law Society (TLS) yalaani vikali tukio la mauaji ya wakili Joseph Masanja. Yataka serikali iingilie kati

Tanganyika Law Society (TLS) yalaani vikali tukio la mauaji ya wakili Joseph Masanja. Yataka serikali iingilie kati

Aisee.. nimeona nimeshangaa...

Sasa huu ndio uafrika wetu.

Kama hukubaliani na mtu kumuua kunakusaidia nini?

Ikija gundulika inahusiana na yale mambo ya mheshimiwa itakuwa kesi kubwa mnoo... Waombe sana isiwe hivyo
Atakuwa anahusika
 
Dah!
Ubabe mwingi sana siku hizi.
R.I.P Wakili Msomi.
 
Back
Top Bottom