johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Huwa najiuliza sana Kwanini Yakobo (Israel) alitafuta kwa bidii kuzipata baraka za baba yake mzee Isaka.
Nikagundua Kuwa Kabla ya hapo Esau alishauza nafasi yake ya uzaliwa wa kwanza kwa Yakobo.
Na kila niikumbukapo Tanganyika namkumbuka Esau ambaye hatajwi tajwi tena Kwenye Biblia baada ya Yakobo (Israel) kubarikiwa.
Kwaresma njema!