Tanganyika ni lazima iendelee kuungana na Zanzibar?

Baada ya Samia kuingia madarakani anaijenga zenji kila sehemu, we hujasikia hadi rais mwinyi anaitwa "rais mabati" kwa sababu kila kona ya zenji kuna fensi la mabati ikiashiria kuna ujenzi ndani yake.

acha story za vijiweni lete facts za unachokiongea, Mwinyi anajenga sana kwa kuwa anachukua mikopo mengi sana kama alivyokuwa Magufuli.
 
Ni bora damu imwagike kuliko tuachie sehemu ya nchi.
 
acha story za vijiweni lete facts za unachokiongea, Mwinyi anajenga sana kwa kuwa anachukua mikopo mengi sana kama alivyokuwa Magufuli.
Inamaana we jamaa unataka kusema Samia hahusiki na haya mabati ya kila sehemu!?
We huoni maraisi wote wa zenji ni awamu hii pekee ndo ina maendeleo ya Kasi zaidi? Kama unabisha subiri Samia atolewe madarakani uone kama utaona Kasi hii iliyopo.


Barabara mpya ya 2020 eti inakwanguliwa na kujengwa tena upya we unafikiri hii ni jeuri ya nani kama si Samia?
 
Uliyosema ni kweli hata mimi nimeshuhudia nilipokuwa hapo Zanzibar takribani miaka minane. Kosa kubwa lililofanyika na serikali ya Nyerere ni kuiua Tanganyika TG . Kabla ya kuongea habari za Muungano kwanza ni kurejesha nchi ya Tanganyika hakuna nchi inayoitwa Tanzania bara!!!
 

Narejea tena mkuu, lete ushahidi acha porojo za mitaani.
 
Mtu ajitolee kwenda kuchambua ule mchanga kwenye kibuyu uliochanganywa kipindi cha muungano. Mchanga mmoja mmoja. Upande huu mchanga wa tanganyika, upande ule wa visiwani urudishwe kila kwenye sehemu inayomuhusu
🤣 🤣 🤣
 
Watu 10000 kama wewe wanatakiwa TANGANYIKA huenda TANGANYIKA yetu ikarudi!
 
Na kukaa Zanzibar miaka 12 lakini hoja zako hata mimi ninayekaa Kanda ya Ziwa nazijua na hazina mashiko!
 
Inajulikana kabisa Wazanzibar wengi vichwani ni vichwa maji,huu Muungano unawanufaisha wao sana kuliko Tanganyika tena kiuchumi ndio kabisa.

Wazanzibar halisi wapo pemba waliozaa na mwarabu,hao unguja ni wamatumbi na Wakurya wa huku huku Tanganyika hata wasikutishe.
 
Sionagi faida yoyote Kwa Mtanganyika kuhusu hili limuungano lenu .

Cha msingi tugawane mbao
Mkuu mbona kwa mujibu wa Jina lako hapo juu, muungano wa ndoa yako unaulinda hadi hata baada ya kifo, ila muungano wa JMT unashabikia uvunjike???

Tukueleweje???

Ama kweli za kuambiwa changanya na zako. Tumekusoma!!!
 
Wazanzibari walio wengi ni wanafiki, ni wachoyo, ni wabinfsi, ni wavivu, ni wanyonyaji, wanapenda kudeka kama watoto wadogo, wanapenda kulalamika hovyo!

Kiufupi huu Muungano ni wa kinyonyaji! Hivyo uvunjike tu ili kila nchi ijitegemee kivyake.
Mfano halisi wa Wazanziberi ni Feitoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…