Muungano huu wa hovyo duniani kote unashikiliwa kwa mtutu wa bunduki na watawala wachache waliojimilikisha hatimiliki ya Tanganyika wasio na maono wenye mitazamo ya kizamani,nakwambia l have a dream kwamba siku moja muungano huu utafunjika na Tanganyika kuwa huru wkt ambapo chama chenye kujitambua kitaitoa ccm madarakani ,wananchi watapewa fursa ya kupiga kura ya maoni kma wanautaka au hawautaki huu muungano na hakika kwa upepo ulivyo kww wananchi hapo ndo itakiwa mwisho wa muungano fake ,nchi ya watu m60 inapelekeshwa na kuendeshwa na nchi ya watu m2 ,kwa sbb tu tunaviongozi wa hovyo hakuna mfano